Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

Mmasai utambua vipi kama ni Mkenya au TZ ?
Atajulikana tu. Janja janja za kuua mbuga ndani ya 50yrs-100 yrs ndo zinaanza kuzimwa. Tusidharau intelijensia ya Jamhuri. Ondoa wote wabaki idadi isiyo hatarishi na wawe watanzania.
 
Atajulikana tu. Janja janja za kuua mbuga ndani ya 50yrs-100 yrs ndo zinaanza kuzimwa. Tusidharau intelijensia ya Jamhuri. Ondoa wote wabaki idadi isiyo hatarishi na wawe watanzania.

Umelala bado!
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
->Sababu walikuwa ni vifaranga wa kenya au sababu ni nini?
->kingine JPM hakuwa anakokotwa kama malaya na wawekezaji wangese na nyie mnashangilia kwa vigelegele,OBC yenye ilionja jiwe la moto.
->uchawa(umaskini) unanyima fursa ya kutumia akili kufikiri kwa upana mf.Salome makamba anashangaa mmasai kuongea kiingereza cha ndani at the same anajifanya anaijua ngorongoro sana,mnatia aibu sana.
->kama tungefikiri kwa mapana sana na kufocus kwenye human development badala ya asset and resource development hapo mbeleni technology revolution inaleta mapinduzi hata kwenye utalii mf.Ujenzi wa NEOM CITY mradi unaogharimu $500billions phase 1 ni 2025,ndani yake kuna mradi konki unaitwa JURASIC PARK wanatumia teknolojia ya animatronic kuwatengeneza dinosaurs je? watalii wangapi wataenda huko TUFIKIRI NJE YA BOX.
JURASIC PARK SIYO 😃. Kazi ipo.
 
mf.Ujenzi wa NEOM CITY mradi unaogharimu $500billions phase 1 ni 2025,ndani yake kuna mradi konki unaitwa JURASIC PARK wanatumia teknolojia ya animatronic kuwatengeneza dinosaurs je? watalii wangapi wataenda huko TUFIKIRI NJE YA BOX.
Hao watalii wa teknolojia watamiminika kuangalia 'Jusaric park' wa kutengeneza ?...🙄🙄🙄
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
 
Attachments

  • Screenshot_20220622-202146_Chrome.jpg
    Screenshot_20220622-202146_Chrome.jpg
    87.1 KB · Views: 5
Hao watalii wa teknolojia watamiminika kuangalia 'Jusaric park' wa kutengeneza ?...🙄🙄🙄
Wazungu wanataka kuona mnyama kwenye mazingira yake asilia tena akiwinda na kula kiasili sio hayo mazingaombwe ya Jurasik Park
 
Hii ni mbinu chafu sana ya kuwaondoa wamasai ngoro ngoro.

Tumieni madaraka yenu vibaya tu ila hizo nafasi zenu hamtadumu nazo milele mtazikuta na mtaziacha ila ipo siku mtajutia matendo yenu haya na hamtapata wa kumuomba msamaha kwani Mungu atawashughulikia yeye mwenyewe na akimaliza kwenu atahamia kwa uzao wenu.
 
"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.
Alikuwa wapi siku zote hadi akaacha liwe tatizo?

Huu ndio utendaji usioridhisha huko serikalini, na wala hastahili kusifiwa kwa lolote.
 
Hii ni mbinu chafu sana ya kuwaondoa wamasai ngoro ngoro.

Tumieni madaraka yenu vibaya tu ila hizo nafasi zenu hamtadumu nazo milele mtazikuta na mtaziacha ila ipo siku mtajutia matendo yenu haya na hamtapata wa kumuomba msamaha kwani Mungu atawashughulikia yeye mwenyewe na akimaliza kwenu atahamia kwa uzao wenu.
Duh!

Umekuwa mwomba dua siku hizi?

Kweli nyakati hubadilika!
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Wakaribishe wamasai uishi nao kwenu
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Kwani UN baba yako?
 
Tukimaliza huku tunarudi kuchunguza uraia wa wabunge wote wa maeneo yale! Tunaweza kuwa na mapandikizi ya nchi jirani wanaotuhujumu mpaka bungeni
Hili la msingi sana.
Haiwezekani karne hii mbunge, Diwani na hata Mwenyekiti wa CCM anafikiri kikabila, na anatetewa na wakabila wenzake wa Kenya
 
Back
Top Bottom