Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kwani UN baba yako?
Na wewe pia ni Mwarabu? Au mpaka uapie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani UN baba yako?
Mijitu mijinga mijinga na mikabila kama Ole Sendeka na wewe ndo mnafikiri ukabila ndo utanzania.Na wewe pia ni Mwarabu? Au mpaka uapie?
Mijitu mijinga mijinga na mikabila kama Ole Sendeka na wewe ndo mnafikiri ukabila ndo utanzania.
Waarabu na wamasai unao kichwani mwako.Sawa mtumwa wa Mwarabu, naona umeisha develop Stockholm Syndrome na Mwarabu, hata akufanye nini hauoni wala kusikia, utamtetea hadi kaburini!
Kwani UN ikicondem ndio nini, we are a sovereign country,lazima kila kitu kiende kwa utaratibu.Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Waarabu na wamasai unao kichwani mwako.
Pole na hako kaugonjwa ka primitive thinking.
Wengine siye ni Watanzania wazalendo.
Kwani UN ikicondem ndio nini, we are a sovereign country,lazima kila kitu kiende kwa utaratibu.
Jambo la kudhibiti wahamiaji haramu ni zuri kama linafanyika kwa uwazi na kwa nia njema.Lakini kwa jinsi linavyofanyika kipindi hiki cha mgogoro wa Loliondo linaweza kuleta mashaka.Je,Uhamiaji walikuwa wapi siku zote?Hivi ni kweli kwamba kuna raia wa nchi ya Kenya ndani ya Kreta ya Ngorongoro?Kama walikuwepo,nani wa kuwajibika?Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan
Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi
Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania
---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo na Ngorongoro mkoani Arusha.
Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Juni 22, 2022, katika Tarafa ya Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika pori Tengefu la Loliondo.
"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.
Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji wamejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini.
Sasa tatizo liko wapi.Huo siyo Uzalendo, uko naive, unachanganya naivity na Uzalendo, haujui kinachoendelea nyuma ya pazia, ulishajiuliza nani amejenga hizo nyumba huko Pangani? Nani katoa fedha na kwa nini atoe?
Wewe unaetutishia UN yaani ni sawa na kumtishia mtoto kwamba 'ngoja baba arudi',so pathetic. Masaai wahame vinginevyo watahamishwa.Kwa ni nani ametishia hiyo sovereignty yako hadi useme yote hayo ? Mmasai?
Sasa tatizo liko wapi.
Wamehamishwa watu wengi zaidi Kimara kwa mradi wa serikali, au mlikuwa majuu?
Wewe unaetutishia UN yaani ni sawa na kumtishia mtoto kwamba 'ngoja baba arudi',so pathetic. Masaai wahame vinginevyo watahamishwa.
Go down fighting with who? The government can't fight its people instead they give orders and directives,and that is what is happening in ngorongoro.Hata kama mkiwamisha kwa nguvu lkn at Least they put a fight, they go down fighting like men, na siyo kama wewe ambaye hata haujitambui, haulewi hata nini kinaendelea, umejaa hasira kama todler, …
Unajuaje kama kwa nguvu serikali inayoiweka, haina maslahiWewe mwenyewe umesema mradi wa Serikali walihamishwa watu Kimara, sasa lodge ya Mwarabu ndio mradi wa Serikali ?
action speaks louder.Saaana !
Hapa ndo namuelewaga zaidi Ameri Jeshi Mkuu wangu Samia Suluhu Hassan
Go down fighting with who? The government can't fight its people instead they give orders and directives,and that is what is happening in ngorongoro.
Wahame tuu hamna namna.
Unajuaje kama kwa nguvu serikali inayoiweka, haina maslahi
Kunya land inabidi washikishwe adabu,juzi walizuia Malory ya mahindi kutoka TZ,sasa hv,kila mmasai asie na Nida,fukuzia mbali.Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan
Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi
Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania
---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo na Ngorongoro mkoani Arusha.
Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Juni 22, 2022, katika Tarafa ya Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika pori Tengefu la Loliondo.
"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.
Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji wamejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini.
Usijitoe ufahamu, jibu unalijua, mwarabu hayupo nchi hii.Inategemea Serikali kwako ni nini, kama ni mwarabu labda uko sawa!