Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

Mijitu mijinga mijinga na mikabila kama Ole Sendeka na wewe ndo mnafikiri ukabila ndo utanzania.

Sawa mtumwa wa Mwarabu, naona umeisha develop Stockholm Syndrome na Mwarabu, hata akufanye nini hauoni wala kusikia, utamtetea hadi kaburini!
 
Sawa mtumwa wa Mwarabu, naona umeisha develop Stockholm Syndrome na Mwarabu, hata akufanye nini hauoni wala kusikia, utamtetea hadi kaburini!
Waarabu na wamasai unao kichwani mwako.
Pole na hako kaugonjwa ka primitive thinking.
Wengine siye ni Watanzania wazalendo.
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Kwani UN ikicondem ndio nini, we are a sovereign country,lazima kila kitu kiende kwa utaratibu.
 
Nimefarijika sana na hatua hii. Hongera sana Rais SSH Na Serikali yako Kwa ujumla. Wakenya walikuwa wanatuchezea sana Ngorongoro, wamejaza mifugo yao hadi carrying capacity ya hifadhi ikawa ndogo, wakatengemeza NGOs za kuwalinda kwa mgongo wa Masai wa Ngorongoro. Ng'ombe wanalishwa Tanzania wanauzwa Kenya Kwa kile kinachoitwa 'bei nzuri'. Wamasai wakabaki vibarua wa kuwachungia mifugo yao. What a hell?

Wakaona haitoshi, Wakenya kwa kushirikiana na Rwanda wakaanza kupush agenda ya free movement of cattle for grazing at the EAC level. Lengo nii Wakenya kuingia kupitia Kaskazini, wanyarwanda waingie kupitia Ngara. Nashukuru Senior officials wa Watanzania waliliona hilo kwenye mikutano ile (2020/21 SCAFS Meeting), wakawashauri vizuri Makatibu Wakuu na Waziri wa sekta ya mifugo Tanzania na Tanzania (Waziri Wa Mifugo) ilitupilia mbali agenda ile kabla haijafika kwenye EAC council of Ministers (full council). Ile agenda ingepita leo Wakenya wasingeguswa Loliondo. Serikali iwe macho na deliberations na directives zote zinazopitia EAC na EALA. Hapa kutumia utaalam na vyombo vya usalama ni muhimu sana kama nchi.
 
Waarabu na wamasai unao kichwani mwako.
Pole na hako kaugonjwa ka primitive thinking.
Wengine siye ni Watanzania wazalendo.

Huo siyo Uzalendo, uko naive, unachanganya naivity na Uzalendo, haujui kinachoendelea nyuma ya pazia, ulishajiuliza nani amejenga hizo nyumba huko Pangani? Nani katoa fedha na kwa nini atoe?
 
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan

Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi

Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania

---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo na Ngorongoro mkoani Arusha.

Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Juni 22, 2022, katika Tarafa ya Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika pori Tengefu la Loliondo.

"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.

Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji wamejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini.
Jambo la kudhibiti wahamiaji haramu ni zuri kama linafanyika kwa uwazi na kwa nia njema.Lakini kwa jinsi linavyofanyika kipindi hiki cha mgogoro wa Loliondo linaweza kuleta mashaka.Je,Uhamiaji walikuwa wapi siku zote?Hivi ni kweli kwamba kuna raia wa nchi ya Kenya ndani ya Kreta ya Ngorongoro?Kama walikuwepo,nani wa kuwajibika?
Sasa hivi huko Loliondo kuna majeshi ya Polisi,Uhamiaji nk.Je,bado hali ni shwari kama tulivyoambiwa awali kabla yule Polisi wetu alipodungwa mshale?Yule mwananchi aliyemdunga huyo askari mshale kilimkuta kitu gani?
 
Huo siyo Uzalendo, uko naive, unachanganya naivity na Uzalendo, haujui kinachoendelea nyuma ya pazia, ulishajiuliza nani amejenga hizo nyumba huko Pangani? Nani katoa fedha na kwa nini atoe?
Sasa tatizo liko wapi.
Wamehamishwa watu wengi zaidi Kimara kwa mradi wa serikali, au mlikuwa majuu?
 
Kwa ni nani ametishia hiyo sovereignty yako hadi useme yote hayo ? Mmasai?
Wewe unaetutishia UN yaani ni sawa na kumtishia mtoto kwamba 'ngoja baba arudi',so pathetic. Masaai wahame vinginevyo watahamishwa.
 
Sasa tatizo liko wapi.
Wamehamishwa watu wengi zaidi Kimara kwa mradi wa serikali, au mlikuwa majuu?

Wewe mwenyewe umesema mradi wa Serikali walihamishwa watu Kimara, sasa lodge ya Mwarabu ndio mradi wa Serikali ?
 
Wewe unaetutishia UN yaani ni sawa na kumtishia mtoto kwamba 'ngoja baba arudi',so pathetic. Masaai wahame vinginevyo watahamishwa.

Hata kama mkiwamisha kwa nguvu lkn at Least they put a fight, they go down fighting like men, na siyo kama wewe ambaye hata haujitambui, haulewi hata nini kinaendelea, umejaa hasira kama toddler, …
 
Hata kama mkiwamisha kwa nguvu lkn at Least they put a fight, they go down fighting like men, na siyo kama wewe ambaye hata haujitambui, haulewi hata nini kinaendelea, umejaa hasira kama todler, …
Go down fighting with who? The government can't fight its people instead they give orders and directives,and that is what is happening in ngorongoro.
Wahame tuu hamna namna.
 
Go down fighting with who? The government can't fight its people instead they give orders and directives,and that is what is happening in ngorongoro.
Wahame tuu hamna namna.

They go down fighting for their land, siyo kama wewe hauna chochote, no culture, no Pride no nothing na ndio maana leo hii uko hapa kutetea mwarabu, uko kama Mbuzi anayemtetea mwenye bucha!
 
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan

Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi

Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania

---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo na Ngorongoro mkoani Arusha.

Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Juni 22, 2022, katika Tarafa ya Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika pori Tengefu la Loliondo.

"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.

Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji wamejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini.
Kunya land inabidi washikishwe adabu,juzi walizuia Malory ya mahindi kutoka TZ,sasa hv,kila mmasai asie na Nida,fukuzia mbali.
 
Back
Top Bottom