Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
2,705
Reaction score
4,967
Dah , sio poa!

Nipo hapa nafuatilia BBC London habari...

Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa.

Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo?
---

Nchi tano za Afrika: Botswana, Eswatini, Rwanda, Tanzania na Zimbabwe tayari zimefikia malengo ya kimataifa ya 95-95-95 ya kumaliza UKIMWI ifikapo mwaka 2030, hii ni kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa ya UNAIDS.

Hii ina maana kwamba asilimia 95 ya watu wanaoishi na VVU wanajua hali yao ya VVU, 95% ya watu wanaojua hali zao wapo kwenye matibabu na 95% ya watu wanaopata matibabu wamevifubaza virusi hivyo, na hivyo haiwezekani kusambaza

Nchi nyingine 8 za Kusini mwa jangwa la Sahara pia zinakaribia kufikia lengo hili.
 
Hivi nini kirefu cha jina ummy
UMMY ni jina la utani ....I mean...kuna baadhi ya watoto wanakuaga hawajui kuita baadhi ya vitu..mfano maji..wao huita "mma"... So usikute Dadaetu wakati yupo mtoto alishindwaga kuita au kusema kitu...na akawa anasema " umm ummi ummiii" ..mwisho wakaamua kuwa wanamuita "UMMY"
 
UMMY ni jina la utani ....I mean...kuna baadhi ya watoto wanakuaga hawajui kuita baadhi ya vitu..mfano maji..wao huita "mma"... So usikute Dadaatu wakati yupo mtoto alishindwaga kuita au kusema kitu...na akawa anasema " umm ummi ummiii" ..mwisho wakawa wanamuita "UMMY"
Limekaa kisanii saniii
Ila kuna mdau kasema ni la kiarabu likimaanisha mama 😃
 
Back
Top Bottom