MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Dah , sio poa!
Nipo hapa nafuatilia BBC London habari...
Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa.
Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo?
---
Nchi tano za Afrika: Botswana, Eswatini, Rwanda, Tanzania na Zimbabwe tayari zimefikia malengo ya kimataifa ya 95-95-95 ya kumaliza UKIMWI ifikapo mwaka 2030, hii ni kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa ya UNAIDS.
Hii ina maana kwamba asilimia 95 ya watu wanaoishi na VVU wanajua hali yao ya VVU, 95% ya watu wanaojua hali zao wapo kwenye matibabu na 95% ya watu wanaopata matibabu wamevifubaza virusi hivyo, na hivyo haiwezekani kusambaza
Nchi nyingine 8 za Kusini mwa jangwa la Sahara pia zinakaribia kufikia lengo hili.