Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Mmebipu ,WAMEWAPIGIA TAYARI..

HII VITA TAMU SANA
20240115_212400.jpg
 
Ni kweli naunga mkono.
Utakuta nchi kama Rwanda au South Sudan zinatawaliwa kibabe, wanakuja kuomba uanachama wanakubaliwa bila masharti yoyote.
Upuuzi kabisa
Nani wa kuwakataa sasa, maana kwa Africa mashariki wangalau Kenya kwa mbali ndio hupata viongozi kwa uhalali. Hawa wengine wote wako madarakani kwa chaguzi za kihayawani. Hivyo wakija viongozi wengine wahuni hakuna wa kumuuliza mwenzake.
 
Sasa mbona wakati wa Magufuli mlikuwa mnapiga makelele wakati wanapigwa pini, Sasahivi ndio mnaona Samia yuko sawa? maana alisema amekwenda kufungua nchi ambayo ilifungwa na mtangulizi wake.Nabado tu mtakili Magufuli alikuwa mwamba.
Wajinga tu nyie wenye, uchungu wa kufiwa usioisha. Hoja yako ya maana ni nini hapa sasa kama sio upuuzi tu?!!!! Mwishowe mumchukiae atawaonyesha dole la kati 'live', mabwege nyie!
 
Wajinga tu nyie wenye, uchungu wa kufiwa usioisha. Hoja yako ya maana ni nini hapa sasa kama sio upuuzi tu?!!!! Mwishowe mumchukiae atawaonyesha dole la kati 'live', mabwege nyie!
Wewe akili ziko kwenye makalio, mtoto wa kahaba aliyelelewa na kahaba aliyeshudia wanamtia mamayake kahaba dole,kuwa na adabu acha matusi wengine humu tuweza kuwa baba yako, Maana kahaba achagui mume.
 
Jumuiya yetu hii kuna mda huwa najiuliza kabisa kwamba tulijiandaa vya kutosha kuungana? Ni miongoni mwa jumuiya zenye matatizo makubwa sana ya kutokuwelewana kabisa,

Juzi tumetoa kusikia Burundi kafunga mpaka wake na Rwanda

Congo na Rwanda wenye ni shida tupu shutuma kila kukicha

Uganda na Kenya wenyewe mashaka ni makubwa

Congo na Kenya niliona Congo anaishutumu Kenya kwa kuruhusu yule jamaa Mkongo/mpinzani wakati wanakaribia uchaguzi nadhani aliyenda kuongea na vyombo vya habari Kenya

Tanzania na Kenya hapa sasa ndo ngachoka

Somalia na Kenya wenyewe ni shida

Jumuiya ya kinafiki hii acha tu
Ila Tanzania tunanyanyaswq sana juzi tu malawi wamerestrict mahindi kutoka Tanzania kuingia nchini kwao Tanzania nao wakaban importation ya soya beans kutoka malawi
 
Piga pini tuu shenzi Sana hao, wana ubinafsi mkubwa sana hao wapuuzi kilicho baki ni kupiga pini na mahindi yayovuka kwenda huko jangwani
 
Mbona tarehe 22 ni mbali? Wangeanza kesho. Yaani Hawa jamaa bado wanafikiri tupo gizani kama nyakati zile walipokuwa wanafanganya wazungu kuwa mlima Kilimanjaro na Serengeti zipo kwao. Sasa hawajui Kuna vijana wa English medium wapo mtaani. Bongo tukiua kuwachezea uhuni mbona hawatoboi?
 
Umoja wa africa mashariki ni kiini macho tu wananchi tunadanganywa tu tuishi kama zamani tu
 
Magu alishawahi wazuia hawa akaonekana mzee wa Chato mtata. Leo yanarudi yale yale .. inabidi tuende km asemavyo Meddie Kagere " Ukimjua Mnafiki ishi nae Kinafiki"

Chuma aliwakazia mpaka wakasema poo. Mpaka kituo kimoja cha television kikaamliwa kuomba msamaha kwa juma moja, baada ya kutangaza kinyonge kumhusu JPM.
 
Huko Holili border nako kunafuka moshi baada ya mamlaka za Tz kuzuia shehena ya parachichi toka Kenya kwa madai ya ubora hafifu.

Tusubiri counterattack.
 
Jumuiya yetu hii kuna mda huwa najiuliza kabisa kwamba tulijiandaa vya kutosha kuungana? Ni miongoni mwa jumuiya zenye matatizo makubwa sana ya kutokuwelewana kabisa,

Juzi tumetoa kusikia Burundi kafunga mpaka wake na Rwanda

Congo na Rwanda wenye ni shida tupu shutuma kila kukicha

Uganda na Kenya wenyewe mashaka ni makubwa

Congo na Kenya niliona Congo anaishutumu Kenya kwa kuruhusu yule jamaa Mkongo/mpinzani wakati wanakaribia uchaguzi nadhani aliyenda kuongea na vyombo vya habari Kenya

Tanzania na Kenya hapa sasa ndo ngachoka

Somalia na Kenya wenyewe ni shida

Jumuiya ya kinafiki hii acha tu

Balozi wa Kenya alifurushwa kutoka Congo 🇨🇩.
 
Foolishness, kwa nini msitafute solutions mapema? Kweli website ni weusi kichwani matope ndo yamejaa, kwa hili naungana na Samia 100% , yaani mnaogopa kutoa license for Tanzanian airco? So hii EAC ina maana gani?
Harafi aircargo yenyewe ni kamaoja tu
 
EAC ya mwanzo ilianza hivi hivi kuhasimiana Kenya na Tanzania huku Uganda wakiugulia machungu ya Iddi Amini. Mwaka 1977 mwishoni mpaka na Kenya ukafungwa ikawa ndio mwisho wa EAC!.
Leo, Tanzania inafanyiwa fitina za kibiashara wakati Kenya ikifaidi faida za Jumuia huku Burundi na Rwanda mipaka imefungwa na Tshisekedi akinuia kupambana na Rwanda kama atashinda uchaguzi. Hivi kuna Jumuia ya Africa Mashariki hapo?... 🤔 🤔
 
Wewe akili ziko kwenye makalio, mtoto wa kahaba aliyelelewa na kahaba aliyeshudia wanamtia mamayake kahaba dole,kuwa na adabu acha matusi wengine humu tuweza kuwa baba yako, Maana kahaba achagui mume.
Umemaliza matusi we shoga?!!! Nenda kafumuliwe marinda sasa!
 
Back
Top Bottom