mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,948
Dhambi inaua.Pole Kanumba,nenda jehanam salama.
Wewe ni nani hata useme/uhukumu hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi inaua.Pole Kanumba,nenda jehanam salama.
Hizi mbio za Urais za CCM zitawapeleka pabaya sana, yaani huo msiba unnataka kugeuzwa Siasa!!......Namsubili Laigwan Lowasa naye sijui anakuja lini kusaini huo msiba. usikute hawa CCM hata protocal ndogo tu ya kwenda kutia saini kitabu cha Maombolezo pale Ubalozi wa Malawi imewashinda, wao wanaota Urais tu Vilaza hawa.
Makamanda wako Arusha wanashugulikia mustakabari wa taifa letu. Tumeambiwa jamaa atazikwa wiki ijayo kwa hiyo wanao muda wa kutosha kwenda kushiriki msiba na mazishi. Pia haya mambo yanategemeana na MILa, inawezekana wewe KIM kwenu mkipata msiba mnaacha kila kitu na kuanza kulia tu.
Una picha yeyote labda?

Kweli Kanumba was the great.
Tutasikia mengi.
Wewe na akili zako za kujaza kizibo cha bia huwezi kuona mbali. Nenda shule ndio utaelewa zaidi.
By the way huyo kanumba wako alilifanyia nini taifa letu? hamna na kifo chake ni kama maelfu ya watanzania wanaokufa kila siku. Sioni kwanini apewe special treatment na hao wanasiasa wanaoenda hapo usifikirie wameguswa na 'mtu muhimu' aliyekufa. Wako kazini. RIP Kanumba.
tusi-conclude kirahisi hivyo kua kauwawa na mpenzi wake.Angefia hospitalini nafkiri mgesema uzembe wa madaktari ndio uliosababisha kifo. Tusiwe wepesi kuwajaza watu taarifa za uongo. wote hatujui exactly kilichotokea,ngoja wataalam(polisi na madaktari) watuambie baada ya uchunguzi.Clouds fm live dakika zilizopita mtu aliepo nyumbani kwa marehemu, watu wanazidi kufika ndugu zake bado hawajafika.
Kanumba alikuwa anaoga wanavyodai majirani saa sita usiku alitoka bafuni kuingia chumbani eti akamkuta Lulu anaongea simu ya mapenzi na mwanaume mwingine, wakagombana na akasukumwa na kuangukia kujigonga kichwa na ndio kilichosababisha kifo chake. sasa msemaji amesema kuwa hii ndivyo inavyoelezwa pale na wanasubiri wataalamu watoe taarifa yao, inaelekea ugomvi ulikuwa mkubwa kati yao hadi majirani walisikia.
Kwa hiyo kwa sasa ni kauawa na Mpenzie
RIP
ITV wanaprogramme zao. Kanumba kasha kufa then wafanye nini? Who is kanumba then!!! wale wanaoendelea kuonesha hawana la kufanya.[/QU utadhani ulikuwepo kweny fikira zangu mkuu