Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hiyo Instagram ninayo app yake kwenye device yangu ukiingia huko huyo Le Mutuz unamsearch vipi? Nataka nikaburudike huko sipendi kuhadithisiwa show hii.hahhahhaaa!!usikondreee!!yani Mungu analipa hapa hapa duniani tena kwa wakati mzuri km huu!!
Leo Mange halali mi nafkiri maana looh!!
Mwanaume ni Mwanaume tu, despite of rangi yake na tabia haichagui rangi pia. Tuna vitu tunatofautiana au wametuzidi, but siamini kuwa wanaume wa kizungu ndo perfect partners, they are as flawed as our African men. Ukimpata mwema, shukuru tu Mungu.Yaani nimajanga,mange alivyokuwaga anawasifia wanaume wa kizungu,kusema ukweli huyu wake kamprouve wrong,yaani kitendo cha lance kufanya anachokifanya ,aisee mimi nasema wanaume ni tabia bila kujali rangi zao za ngozi
washafanyaga party mbonaaa!!Lazima kutakua na party somewhere. ..lol
hahaaaaahhhaaa!!!USA alijua kwao ntwaala kwa mama ake asikokutajaga!!!Kichwapanzi needs a trophy. .huyu ndo jeshi la mtu mmoja.
Alikuja kwa pupa...akajua USA ni Kahe.
Sometimes u don't need to be powerful or influential for people to be all over your shit.. you just need to be famous, and well.. she is famous[emoji53]I can't believe that chick is this powerful!
I can't believe she is this influential!
But evidently, somehow someway, she is.
ingia le mutuz nationHiyo Instagram ninayo app yake kwenye device yangu ukiingia huko huyo Le Mutuz unamsearch vipi? Nataka nikaburudike huko sipendi kuhadithisiwa show hii.
Sometimes u don't need to be powerful or influential for people to be all over your shit.. you just need to be famous, and well.. she is famous[emoji53]
Inasikitisha kweli lakin duuuh! Huyu dada alizidi hadi unashindwa kuelewa ni mwanamke mwenzetu kweli.Inasikitisha sana kwa kweli, huyu dada hata kama alikuwa na madhaifu yake lakini bado haitoi sababu ya kufurahia matatizo yanapompata. Hii ni dunia utamcheka mwenzio leo, kesho yako huijui. Tujifunze kulipa ubaya kwa wema, hata kama Mange alikukwaza mbadilishe tabia kwa kumuonyesha upendo na huruma. Mungu amsaidie huyu dada, I really pity her.
Maneno mabaya ambayo watu hurushiana wakiwa wamekasirishana mara nyingi huwa yameongezwa viungo vingi tu...binzari, paprika, chumvi, pilipili, vitunguu saumu, na vinginevyo.
Hivyo ni busara kuyaacha kama yalivyo tu maana huenda ni si ya kweli au hata kama ni ya kweli basi ni kwa asilimia chache sana.
Kama unamkubali mshauri aachane na mitandao aweze kutafakari mustakabal wa maisha yake.
Nyie cheerleaders wake ndio mnamtia bichwa, badi na mpare mpenda sifa ndio anazidisha mabifu.
Sihitaji kumshauri chochote. Na huo ushauri wako unaweza kuwafaa hata hao anaotukanana nao na pengine hata wewe mwenyewe. Kila mtu anaweza kuachana na mitandao na kutafakari mustakabali wa maisha yake.
Hata nyie cheerleaders wa mahasimu wake ndo mnawatia mabichwa hao mahasimu wake na wao wanaona sifa na kendeleza hayo mabifu.
It goes both ways.
Mbona mnatia huruma sasa? Kama kweli mna busara kwa nini hamkumshauri mwenzenu wakati anaendeleza upuuzi wake?Si ndio nakushangaa .
Kalifute.
I mean kama unaanika maisha yako mtandaoni, halafu motive ikaenda upside down inside out, back off . Personally nimeshaandika humu that she needs a chill pill, vinginevyo ataishia kua depressed kwa kushindana na dunia, aishia kujiua bure.
Kuba masaiby mbalimbali duniani, lakini divorse inahitaji support na confort toka kwa ndugu jamaa na marafiki kudeal nayo.
Sasa ukiongeza makando kando mengine ya malimwengu utawezaje?
Hakuna mwenye moyo wa chuma so she needs to back off.
She can never be one man army against dunia nzima.
why too much hate Mpwa....Hakika, na mpaka leo sina line ya Voda, huyu mwanamke ni Lucifer Agent ameumiza sana watu kwa tabia zake za kishetani, nasema wazi bila kificho Asante Mungu, Mange hastahili hata chembe ya huruma na hata ningeambiwa angepikwa supu kama ningechelewa nyama yake basi hata mchuzi tu angalau niukute.
Endeleeni kumdanganya huku anaangamia.Mangeeeeee....Ametishaa Jf..Instaa..Facebook Ni Mangeee...kweli Mangeee pamoja Na yoote I salute you..Unatetemeshaaa!!ukiona watu wengi wanakuongeleaa sana ujue una kitu ndani yako.
Simpendi Mange licha ya kwamba hatujuwani, tabia zake ni mbaya sana, tatizo mimi kufake hisia zangu huwa siwezi, kile nisemacho ndicho ninachomaanisha.why too much hate Mpwa....
btw speaking of kuumizwa.. we alishawahi kukuumiza.
mie sio fan wake ila hata sifurahii yaliyomkuta kwakweli...
kwani kuna mtu ana fake hisia??Simpendi Mange licha ya kwamba hatujuwani, tabia zake ni mbaya sana, tatizo mimi kufake hisia zangu huwa siwezi, kile nisemacho ndicho ninachomaanisha.