Nashangaa kuona wanawake wanafurahia
Mwanamke mwingine kuteseka. Kwanza Mlijuaje
Kama yeye kaachwa labda ndie alie acha.
Hatufurahii lakini alisononesha nyoyo za wanawake wengi mno in case hujui. alimvua nguo Hoyce Temu kwenye mitandao kwa ugomvi na mdogo wake Hoyce, akagombana na ndugu yake gani sijui yuko US, akarukia familia nzima, kina Tunu Mssika, juzi hapa akamrarua Nambua Mlaki, pamoja na wazazi wake, hao ni wachache tu. usitetee kama humjui Mange, au kama ni ndugu yako, pole na wewe, lakini she deserve it.
Wewe unamuona Mange mmoja unasahau kundi la watu aliowaathiri ki saikologia......Alimtukana sana Mhe Lowasa ambaye ni sawa na baba yake, wakati wa kampeni wakati yeye sio mwanasiasa, ghafla akamrukia Rais Magufuli, maana kila kitu anajua yeye. Pamoja na talaka iliyopo njiani bado mpaka leo anapambana na Betina na Le Mutuz mitandaoni. Huyu sio mtu, acha yamkute, pamoja na kwamba tuna sympathise kuachika lakini kwa tabia yake, haya ndio alikua anataka. Midomo ya watu imemlaani.
Amejawa na wivu ulikithiri, hataki kuona mwanamke mwenzie kamzidi, lazima atafute kitu wagombane. Alijaribu sana kumuingilia Zari, akasahau ile ni namba nyingine, hana muda wa kulumbana na kinyago kama yeye, Zari hajawahi kumjibu hata siku moja, akaamua kukaa kimya na yeye maana ni sawa na kupigana na ukuta.