Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

ndege mjanja.....
 
talaka talaka,ndoa ndoa
tuacheni ujinga ndo maana wasomi ndoa hazidumu kumbeee!!
km elimu ya maana iambie ikuoe!
definitely, elimu ni bora kuliko ndoa... ikitokea ndoa basi ni bonus
 
then still kuna wapuuzi wanamfagilia looser yule!!
Alivyo jinga wenzie wamepress panic button na amepanic kweli
Anarusha mitext yote aliyochat na x mumewe...yani anaumbuka mchana kweupe nawaza alivyokua anamkatikia jikoni kumbe off camera wana beef asee yule mama anajiweza kwakweli looh
Anashindana na nani hadi kaamua kuishi bitter life kama ile chaaa anaweza kuugua kichaa kisa kuwaonyesha walimwengu yupo ngangari
 
Huyo dada kweli jeshi la mtu mmoja maana watu kibao wanamwandama na kumfungulia mapage mengi kwenye social media kumtukana tatito uwa anawachana ukweli watu wengi hawana ujasili kama wake yaan usiombe uwingia kwenya 18 zake uwa anatoa dozi nzinto
 
Menu ya Karma haitolewi oda. Unapata alichokuPikia karma! Mwenzetu anakula tayari mlo wa Karma ...kwa wengine pia lipo la kujifunza. Hukujiumba uliumbwa. Kuna mipaka ya ubinadamu kufukuru ikizidi hapo Mungu anasimama kukushusha kiburi cha uzima.
 
My dia kweli wengi walaimshindwa ila kichwapanzi amemmaliza. Hata ndoa kuvunjika aliivunja kichwapanzi. Hii hata mange mwenyewe atakuja kuisimulia maana haamini aminI. Hata mimi pia siamini kama kweli mbuyu umevunjwa na sisimizi
 
Pamoja na yote pole zake kwa kweli.........aanze tu upya....
 
Nyerere 11
Sasa kuna tofauti gani kati ya mange na nyari...? Wote ni hao hao tu. Me naona afadhali ya nyari. Ila muacheni Baba wa watu apate hewa sasa maana kuishi BA mange sio kazi ndogo. Naomba nitumie hiyo video ya nyari PM maana hapa haifunguki. Au uweke kule mambo ya kikubwa
 
kashafulia huyu kila lenye mwanzo halikos mwisho hakuna jeshi la MTU mmoja wala ndeg tupu kiukweli Leo amevurugwa balaaa!!poleni wafuasi wake!!!
mana alivyokua anadharau waliochwa km ndoa yake imefungwa na malaika
mxxxiiiiuuuuu!!!
 
Menu ya Karma haitolewi oda. Unapata alichokuPikia karma! Mwenzetu anakula tayari mlo wa Karma ...kwa wengine pia lipo la kujifunza. Hukujiumba uliumbwa. Kuna mipaka ya ubinadamu kufukuru ikizidi hapo Mungu anasimama kukushusha kiburi cha uzima.

My dia kweli wengi walaimshindwa ila kichwapanzi amemmaliza. Hata ndoa kuvunjika aliivunja kichwapanzi. Hii hata mange mwenyewe atakuja kuisimulia maana haamini aminI. Hata mimi pia siamini kama kweli mbuyu umevunjwa na sisimizi
yaaani huyu Dada kaumbukaje
karma kweli ipo nimeamini
talaka usiyoitegemea inauma bwanaaa!
 
Hii issue ingemtokezea mwengine isingekuwa big deal.lakini kwa huyu jamani alizidi.na akimtukana mtu "umri kama huo mume huna" NA alikuwa akisema haachwi mtu. Watu wanakumbuka maneno yake.mimi nilijua uzushi tu.mzungu kaangukia kwa m Zimbabwe. Hapo mange itamuuma maana walikuwa mashoga.ndio maana alikuwa kama ana bipolar .anasema ya wenzie kumbe na yeye ana yake mengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…