Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hiyo inashindikana sababu nayeye ana wa attack watu wengi hata mwezi hauwezi kupita bila kumtolea mtu maneno machafuAisee!
Huyo dada Mange kweli anasumbua.
Anasumbua kuliko hata haja ya mabungo.
Yaani kamtu kamoja kanawasumbueni hivyo? I mean...really? Seriously y'all?
Hivi huwa inakatiza hata wiki kweli huyo mdada hajajadiliwa humu?
Hahah zari ajiandae mbonaatashusha mabomu mange ya zariii tujute!!
Hiyo inashindikana sababu nayeye ana wa attack watu wengi hata mwezi hauwezi kupita bila kumtolea mtu maneno machafu
Alikuwa anajigamba haachwi mtu na akiachwa mumewe abebwi na kibedui yeyote cha kushangaza shoga yake alikuwa anamponda ndio kawa kipoozeo cha mumewe
Ndio maana unaona ligi ndefu hii
Uache kushabikia watu wa ajabu huyu dada kachafua sana watu tena kwa sheria zile za mitandao zingeaza nae! Kaharibu sana mabinti wetu Dar!I am starting to like her. She is really growing on me right now.
She is one strong gal and I can respect and appreciate that aspect of her.
That's not to say I approve of what she stands for or the beefs she's currently embroiled in. Not at all.
But man, she's a real toughie.
I mean, seems like everybody [now including her ex or whatever he is] is ganging up on her and she is all alone but no one is able to take her down.
If anything she's the one who is laying the smackdown on all comers. She is one-woman army personified!
I have never seen one person take on everybody and their mama and remain unfazed like she does.
Had it been anyone else they'd have probably folded like a cheap suit but not her.
She really can hold her own. That I'll give it to her.
Her breakdown is on the horizon-she is fighting wars on all fronts- even the USA can not do thatI am starting to like her. She is really growing on me right now.
She is one strong gal and I can respect and appreciate that aspect of her.
That's not to say I approve of what she stands for or the beefs she's currently embroiled in. Not at all.
But man, she's a real toughie.
I mean, seems like everybody [now including her ex or whatever he is] is ganging up on her and she is all alone but no one is able to take her down.
If anything she's the one who is laying the smackdown on all comers. She is one-woman army personified!
I have never seen one person take on everybody and their mama and remain unfazed like she does.
Had it been anyone else they'd have probably folded like a cheap suit but not her.
She really can hold her own. That I'll give it to her.
Her breakdown is on the horizon-she is fighting wars on all fronts- even the USA can not do that
Uache kushabikia watu wa ajabu huyu dada kachafua sana watu tena kwa sheria zile za mitandao zingeaza nae! Kaharibu sana mabinti wetu Dar!
Le-mutuz will skin you alive for heaping praise on this woman.By the way how can ur friend Le mutuz sink so low by engaging in mipasho with herI doubt it.
She is mighty impressive.
I have never seen one woman take on so many men and women, both at the same time, and still be able to kick their asses all over the social media terrain like that.
She is a warrior.
akirudi Bongo tu wanamdaka... kwa mitusi aliyokuwa akiwatolea wenzie mitandaoni!Well...I'll give the devil her due [credit].
akirudi Bongo tu wanamdaka... kwa mitusi aliyokuwa akiwatolea wenzie mitandaoni!
tuone watu wame-file cases zinamngoja!Hamna lolote...na atarudi na hakuna atalofanywa zaidi ya harassment za uongo na kweli.
Le-mutuz will skin you alive for heaping praise on this woman.By the way how can ur friend Le mutuz sink so low by engaging in mipasho with her