Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
-
- #61
Mkuu, ebu acha kuwasimanga wanaume wa Daslam...🤣
Kwa hizi magimbi, maboga, mamung'unya, mahindi ya kuchemsha kuna mavijana yanweza yakadhani meza imejaa vifaa vya ujenzi...😝Magimbi, mahindi mchemsho na mabogaView attachment 2635616View attachment 2635617View attachment 2635618
Hana baya na mtu 🥰My wetu huyo 😋
NakaziaHana baya na mtu 🥰
[emoji23]kitimoto na apewe maua yake[emoji1787][emoji1787] mwisho tumetii amri[emoji119][emoji125][emoji125][emoji125]Nakazia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Kwa hizi magimbi, maboga, mamung'unya, mahindi ya kuchemsha kuna mavijana yanweza yakadhani meza imejaa vifaa vya ujenzi...[emoji13]
Hahaaa! labda kama unataka kuleta mpasuko wa kimaslahi kwa watakao hudhuria harusi yako[emoji23]Mdudu rost asee hata siku ya harusi yangu hii ndio menu yangu
Huyo kiumbe ni Kali yao tamu yao anaupiga mwingi licha ya kupigwa vita Wala hajali[emoji23]kitimoto na apewe maua yake[emoji1787][emoji1787] mwisho tumetii amri[emoji119][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 2635635View attachment 2635636View attachment 2635637View attachment 2635638View attachment 2635639
Huu msosi mashuzi yake ni kama mabomu ya Taliban....😝 lakini ni msosi wenye afya sana, mavijana yangekula hizi food bilashaka mkongo dast usinge pata soko huku Tanganyika ☺[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]View attachment 2635644View attachment 2635646View attachment 2635650View attachment 2635651
Mkuu..... huku Ibologelo, hii sambusa na mchuzi mix sijawahi kuiona walahi...🤨Sambusa (samosa)View attachment 2635491
Vipi kuhusu Mbute, Makopa, Mchembe na Matobolwa...??Pamoja na ugali kupendwa sana kwa baadhi ya nchi za Africa, lakini siyo chakula cha kuliwa na binadamu.
Ieleweke kwamba Mahindi, mtama, uwele, etc ni kwa ajili ya kulisha ngombe, kuku na nguruwe.