MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 305
- 728
Basi kachelewa pata watotoKumbe jamaa alioa msomali..
Niwashaurini mabaharia wenzangu tuoe huko nje,hizi specie za kibongo tuwaache waendelee kuwa masingo mazaView attachment 1285347
aliongea kuhusu yule mkaguzi wa hesabu za serikali msitaafu sio?Huyu si Jana tu,aliongea ongea vitu controversial?
Kwa hiyo wenye upara wote wana Kansa au unamaanisha nini?R. I. P kansa sio aisee mtu unajua umebakiza siku kadhaa za kuimaliza dunia. Hata steve jobs nae aliresign uceo Apple akaenda kufa na kansa.sio kila unayemuona ana upara amependa, chemo ni kali humaliza nywele zote
All in all ni maisha.
Ni mawazo tu
Umemsahau na Seth mdogo wake Kanumba.Huu mwaka umeondoa Watanzania watatu wenye akili kubwa ya kibiashara.
Ruge, Regnald na Ali.
RIP Ali Mufuruki.
Sijui wapo wakatao ziba vilaka Hivi viwiliRIP Mufuruki... Daaah Mamilioneire weusi wa Tanzania wanapungua.
Je alikuwa anaumwa kansa? Kama ni kansa ilkuwa ya eneo gani la mwili?R. I. P kansa sio aisee mtu unajua umebakiza siku kadhaa za kuimaliza dunia. Hata steve jobs nae aliresign uceo Apple akaenda kufa na kansa.sio kila unayemuona ana upara amependa, chemo ni kali humaliza nywele zote
All in all ni maisha.
Ni mawazo tu
Hata mimi ningeshangaa kama huyu jamaa ni mhaya wa "kweli" Wahaya wa kweli ni wale tuliwaona jana kwenye taarifa ya habari kuwa wameharibu mali za mwekezaji kwenye ranchi ya Kagoma wilaya ya Muleba kwa kukata kata ng'mbe mapanga na kuharibu mali.(Naenda kufungua uzi kule wa aina ya wizi na uharibifu wa mali ambao unapatikana kwa wahaya tu)Wahaya mna mambo,hawa wakina Mufuruki ingawa ni wahaya ila wanajiona zaidi kama wasukuma,maana wamezaliwa na kukulia Geita na mama yao pia ni Musukuma.
Kile kiwanja chake kikubwa pale Geita alichokijengea tu ukuta bila kukiendeleza miaka na miaka nadhani ni wakati muafaka kikagawiwa kwa wananchi
Kumbe na wewe ni CEO!? Mbona una mawazo na mitazamo ya ndani ya box!?
Kwa nini swali liwe nani?Amechukuliwa na nani mkuu??
Ni kujiconsider tu, ila wale wanyamwezi.Mpemba.. Wapemba wanaji consider kama Waarabu
Mh! hebu jaziaView attachment 1285339
Mkuu InfoTech awali ilikuwa inahusika sana na kazi za Ki IT na Printing ila kwa Sasa inafanya kazi nyingine za Real Estate na Maduka ya Nguo Partnership(WOOLWORHTS).
Yale yale ya kumwaga mchele mbovu wa mtu na kulipwa fidia kwa vitega uchumi vya serikali na kisha kuwa milionea! Huwa natafuta "self made" millionaire hapa nchini simpati!Mkuu ALi ameanza Bizness Long Tym sana,InfoTech ndio ilikuwa inapata kazi za Printing zote za Serikali,ebu fikiria tu Bungeni wameondoa printing kwa sasa wanatumia ipad ambayo kwa mujibu wa bunge wameokoa MABILIONI ya Shiling yaliyokuwa yanapotea kwa printing.....Sasa hiyo ni Bunge tu!! Sasa InfoTech ilikuwa inapata kazi za printing na IT za Serikali imagine alikuwa anaingiza Tsh ngapi?
Jana nilikuwa naongea na mtu kuhusu utawala wa sasa na uwekezaji.Matajiri wataishi kama mashetani...
Mtalimia meno..
Itaendelea.