TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Rais Magufuli ametoa salamu za rambi rambi kutokana na kifo cha ndugu Ali Mfuruki. Kupitia akaunti yake ya twitter Rais Magufuli ameonesha kuhuzunishwa na msiba huo.

"Nimehuzunishwa na taarifa za kifo cha rafiki yangu Ali Mufuruki (Mwenyekiti na Mwanzilishi wa Jukwaa la Wakurugenzi Watendaji wa Kampuni - CEOrt) Nitamkumbuka kwa uzalendo na mchango wake katika kukuza sekta ya biashara na ushauri kwa Serikali.Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un"- Rais Magufuli


MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI. AMEN
20191208_142020.jpeg
 
R. I. P kansa sio aisee mtu unajua umebakiza siku kadhaa za kuimaliza dunia. Hata steve jobs nae aliresign uceo Apple akaenda kufa na kansa.sio kila unayemuona ana upara amependa, chemo ni kali humaliza nywele zote
All in all ni maisha.
Ni mawazo tu
Kwa hiyo wenye upara wote wana Kansa au unamaanisha nini?
 
Msiba mzito huu poleni sana Tanzania, Poleni sana Ethiopia.

Is Africa really "rising" | Ali Mufuruki | TEDxEuston
323,783 views

Published on 30 Dec 2014
This talk was given at a local TEDx event, produced independently of the TED Conferences. Is Africa really "rising"

ALI A. MUFURUKI :
holds a B.Sc.in Mechanical Eng. Design from the Reutlingen University, Germany, 1986. He was a Member of the Board of Directors of the Tanzania Central Bank, Member of the Board Directors Technoserve, Inc. of Washington, DC and Board Member of Nation Media Group of Kenya.

He currently serves as Chairman of the Board Wananchi Group Holdings Kenya, Chairman of The CEOs’ Roundtable of Tanzania, Trustee–Mandela Institute of Development Studies (MINDS), Johannesburg, South Africa, Chairman of the Board of Chai Bora Ltd, Tanzania, Chairman of Muhimbili University (MUHAS) Grants Committee, Council Member of Dodoma University, Member of the Presidential Investors Roundtable of Uganda (PIRT), Member of the Tanzania National Business Council (TNBC), Member of the Advisory Group on Sub-Saharan Africa (AGSA) for the International Monetary Fund (IMF).

He is a Henry Crown Fellow of The Aspen Institute Class of 2001 Founder and Chairman of The Africa Leadership Initiative (ALI) East Africa. Mufuruki is married with four children.
Source : TEDx Talks

c.c Elli Mhariri Active Mod Mod Five
 
R. I. P kansa sio aisee mtu unajua umebakiza siku kadhaa za kuimaliza dunia. Hata steve jobs nae aliresign uceo Apple akaenda kufa na kansa.sio kila unayemuona ana upara amependa, chemo ni kali humaliza nywele zote
All in all ni maisha.
Ni mawazo tu
Je alikuwa anaumwa kansa? Kama ni kansa ilkuwa ya eneo gani la mwili?
 
Wahaya mna mambo,hawa wakina Mufuruki ingawa ni wahaya ila wanajiona zaidi kama wasukuma,maana wamezaliwa na kukulia Geita na mama yao pia ni Musukuma.
Kile kiwanja chake kikubwa pale Geita alichokijengea tu ukuta bila kukiendeleza miaka na miaka nadhani ni wakati muafaka kikagawiwa kwa wananchi
Hata mimi ningeshangaa kama huyu jamaa ni mhaya wa "kweli" Wahaya wa kweli ni wale tuliwaona jana kwenye taarifa ya habari kuwa wameharibu mali za mwekezaji kwenye ranchi ya Kagoma wilaya ya Muleba kwa kukata kata ng'mbe mapanga na kuharibu mali.(Naenda kufungua uzi kule wa aina ya wizi na uharibifu wa mali ambao unapatikana kwa wahaya tu)

Tupo kwenye msiba mkubwa wa kuondokewa na mtu muhimu sana, poleni watanzania na wanafamilia, naomba radhi kwa kuchomekea kidogo juu ya wahaya maana mimi pia mhaya "pure"
 
Kumbe na wewe ni CEO!? Mbona una mawazo na mitazamo ya ndani ya box!?

Ha ha haaaaaa
Humu ni JF.. nakuwa nitakavyo.. uamuzi wangu kuburudika kivyovyote.

Omba nikufundishe kufikiri nje ya boksi
 
Hats baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi huyu jamaa alihuzunika............
 
Amechukuliwa na nani mkuu??
Kwa nini swali liwe nani?

Heshimu thread ya msiba. Huyu mtu wengine tunamjua personally, sibkwamba ni mtu tunamsima tu JF.

Nimeandika kwamba mwaka huu umemchukua Reginald Mengi na Ali Mufuruki.

Yani, katika historia zao, watu wakiandika miaka waliyozaliwa na waliyofariki, mwaka huu wa 2019 unakuwa ni mwaka waliofariki wote.

Wewe ulifikiri vipi?
 
View attachment 1285339

Mkuu InfoTech awali ilikuwa inahusika sana na kazi za Ki IT na Printing ila kwa Sasa inafanya kazi nyingine za Real Estate na Maduka ya Nguo Partnership(WOOLWORHTS).
Mh! hebu jazia
Mkuu ALi ameanza Bizness Long Tym sana,InfoTech ndio ilikuwa inapata kazi za Printing zote za Serikali,ebu fikiria tu Bungeni wameondoa printing kwa sasa wanatumia ipad ambayo kwa mujibu wa bunge wameokoa MABILIONI ya Shiling yaliyokuwa yanapotea kwa printing.....Sasa hiyo ni Bunge tu!! Sasa InfoTech ilikuwa inapata kazi za printing na IT za Serikali imagine alikuwa anaingiza Tsh ngapi?
Yale yale ya kumwaga mchele mbovu wa mtu na kulipwa fidia kwa vitega uchumi vya serikali na kisha kuwa milionea! Huwa natafuta "self made" millionaire hapa nchini simpati!
 
Matajiri wataishi kama mashetani...

Mtalimia meno..

Itaendelea.
Jana nilikuwa naongea na mtu kuhusu utawala wa sasa na uwekezaji.

Nikaitaja hiyo misemo miwili.

Nikatoa mfano wa Ali Mufuruki.

Hapo nilikuwa sijapata habari za msiba huu.

Naamka leo, nakuta habari za msiba wa Mr. Mufuruki.
 
Back
Top Bottom