TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Mkuu msomali/mwarabu ana nini cha zaidi hadi mtu ushindwe kumuoa
Hata Mimi nimemshangaa Sana jamaa!
Anaonekana ni muoga Sana wa maisha,hata sijui Kama alishawahi kupata demu kwa uoga wake
 
Infotech: information technology
Mauzo yake makubwa ni nini?
Simu, spare za simu, app. za simu, airtime, internet, software au ni nini?

Ubilionea wa mo na bakhresa twajua unatokana na nini. Hata Bob Sambeke tunajua akiuza madini.

Tutajieni na wateja wake.

RIP A. MUFURUKI
 
Fikra zake juu ya Siasa na Uongozi (hasa wa awamu ya Tano):
Naheshimu sana juhudi hizi za mtu kutoa michango ya mawazo yake kwa taifa lake.

Bila shaka huyu alikuwa ni 'Mzalendo wa Kweli' kwa nchi yake.

Pumzika kwa Amani.
 
Mweee .. Ali! Jamani! Of all the people!! If death would claim the life of you know who!! Tanzania would burst in jubilation. Anyway who am I to question...but its very unfair. Fate has decided monsters and useless dudes should live longer. But not for long!!!!
 
Kizungu kimekaa vizuri
 
Elli,
Ali Mufuruki mara ya kwanza tulikutana mwaka 1998. Ukaniajili INFOTECH COMPUTER LTD. Kama boss wangu ulikuwa mkweli, mtu mwenye upeo mkubwa sana KILA SIKU NATAMANI NIWE KAMA WEWE...NILIJUA mungu akikupa masha marefu UTAKUWA BILLIONER niliona utendaji wako wa kazi VISION, PASSION kabla hujawa BILIONER... Kwa niaba ya wafanya kazi wa zamani wa INFOTECH Mungu akupe pepo ya juu kabisa FIL DAUSI. kwa wema wako na matendo yote mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…