TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Infotech: information technology
Mauzo yake makubwa ni nini?
Simu, spare za simu, app. za simu, airtime, internet, software au ni nini?

Ubilionea wa mo na bakhresa twajua unatokana na nini. Hata Bob Sambeke tunajua akiuza madini.

Tutajieni na wateja wake.

RIP A. MUFURUKI
 
Fikra zake juu ya Siasa na Uongozi (hasa wa awamu ya Tano):
Naheshimu sana juhudi hizi za mtu kutoa michango ya mawazo yake kwa taifa lake.

Bila shaka huyu alikuwa ni 'Mzalendo wa Kweli' kwa nchi yake.

Pumzika kwa Amani.
 
Mweee .. Ali! Jamani! Of all the people!! If death would claim the life of you know who!! Tanzania would burst in jubilation. Anyway who am I to question...but its very unfair. Fate has decided monsters and useless dudes should live longer. But not for long!!!!
 
Kizungu kimekaa vizuri
Wanakufa watu wa maana!!! Wanabaki wa ovyo ovyo.... Mweeeeee .. Ali! Jamani! Of all the people!! If death would claim the life of you know who!! Tanzania would burst in jubilation. Anyway who am I to question...but its very unfair. Fate has decided monsters and useless dudes should live longer. But not for long!!!!
 
Elli,
Ali Mufuruki mara ya kwanza tulikutana mwaka 1998. Ukaniajili INFOTECH COMPUTER LTD. Kama boss wangu ulikuwa mkweli, mtu mwenye upeo mkubwa sana KILA SIKU NATAMANI NIWE KAMA WEWE...NILIJUA mungu akikupa masha marefu UTAKUWA BILLIONER niliona utendaji wako wa kazi VISION, PASSION kabla hujawa BILIONER... Kwa niaba ya wafanya kazi wa zamani wa INFOTECH Mungu akupe pepo ya juu kabisa FIL DAUSI. kwa wema wako na matendo yote mazuri.
 
Back
Top Bottom