Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hakika????Muongo mkubwa wewe.
Mengi alikuwa tajiri Mweusi wa kwanza Tz. Ally alikuwa namba 9 , 10 huko.
Ahsante kwa kumbukumbu hii, maana nimekuwa nikiitafuta kwenye mafaili kwenye ubongo wangu kuhusu hii bila ya mafanikio.Huyu si ndie alipiga picha na CAG hadi watucwakahoji kapata wapi ujasiri?
Hata Mimi nimemshangaa Sana jamaa!Mkuu msomali/mwarabu ana nini cha zaidi hadi mtu ushindwe kumuoa
Mauzo yake makubwa ni nini?Infotech: information technology
Naheshimu sana juhudi hizi za mtu kutoa michango ya mawazo yake kwa taifa lake.Fikra zake juu ya Siasa na Uongozi (hasa wa awamu ya Tano):
Mimi sioni tatizo na hilo aliloliandika.Unamaanisha nini kwa life kuwa "meaningful" na kuihusisha na kifo?
Wanakufa watu wa maana!!! Wanabaki wa ovyo ovyo.... Mweeeeee .. Ali! Jamani! Of all the people!! If death would claim the life of you know who!! Tanzania would burst in jubilation. Anyway who am I to question...but its very unfair. Fate has decided monsters and useless dudes should live longer. But not for long!!!!
Alikabiliwa na ugonjwa gani? Msisubiri kutukanwa ndio mjue kutekeleza wajbu wa kutoa habari