TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Kiranga,
Ukweli huo unaweza kuuthibitisha au hiyo fake id ndio inakupa ujasiri?
Ukweli upi?

Nimeandika mengi. Be precise please.

Andika vitu sensible sio unaandika ukifikiri kila mtu yupo kichwani mwako.

Mimi ninkati ya watu wachache wanaopenda uthibitusho hapa JF.

Ukija kizembe utaulizwa uthibitishe kama kweli unataka uthibitishi au unazuga kuganga tu.
 
😀 😀 😀
Mkuu... familia yetu unaijua?

.....ila ni kweli!

OUT OF TOPIC:

Sijawah ona mtu m'bishi kama Kiranga
Hakuna maendeleo bila ubishi.

Hakuna kikichosemwa kwa kujivuna. Nimeandika kuweka rekodi sawa kwamba siwezi kumchukia mtu aliye beneficiary wangu hivyo. Naongea princiole, sina roho ya chuki na mtu, hususan wa caliber hiyo.

I am a Davidian when it comes to such matter, I come within slewing distance, but I only cut the cloth to prove a point.

Ubishi ni muhumu katika maendeleo. Hakuna jamii iliyoendelea bila ubishi.

Hata hii internet imetengenezwa na watu wabishi waliochika kuandukiana barua kwa posta.

Sasa ubishibsi kitu kibaya.

Tatizo, ubishi juu ya nini? Kwa hija gani? Kwa tija gani? Kwa elimu gani?

Zama kwenye hoja, usi dismiss mtu jwa sababu mbishi tu.

Inawezekana mtu unamuina mbishi kwa sababu anajua mengi zaidi yako anakuelimisha vile vile.
 
Kumbe hujui hata unachoongea!

Nilipokuambia ujiheshimu ulikuwa umetoa shombo la ng'onda uliloamini kuwa ni ukweli ......ndiposa nimekuuliza unaweza kuuthibitisha?!
 
Wewe mjinga sana.
Unashindanisha misiba!
Tunashindanisha maendeleo ya vijiji,tunataka mapicha ya Kijiji alikozaliwa na mandhari kiujumla Kama sisi wa kilimanjaro tunavyofanya,sisi kilimanjaro na kagera tunajuana
 
Mungu amrehemu ndugu yetu
 
Kumbe hujui hata unachoongea!

Nilipokuambia ujiheshimu ulikuwa umetoa shombo la ng'onda uliloamini kuwa ni ukweli ......ndiposa nimekuuliza unaweza kuuthibitisha?!
Unajua logical non sequitur ni nini?

Unaelewa mimi kukuuliza ujieleze vizuri ukweli upi unaouulizia hakumaanishi sijui nimeongea nini?

Ukweli nini? Unathibitishaje huu ni ukweli na huu ni uongo?
 
Upumbavu haba ni mzito kuliko hekima na heshima!
 
Taifa limepoteza, Familia inepoteza ila tumebakiwa Mawazo ya Ali A. Mufuruki. Pumzika kwa amani katika Udongo mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…