TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Elli,
Dah!
Nimesikia pia kuwa mzee na balozi wa zamani wa Tz nchini urusi Jaka Mwambi kafariki dunia. Sina uhakika na taarifa hizi ila wanaokaa karibu nae huko tegeta wamenitonya.
 
truthone,
Mungu amsamehe madhambi yake.

wakati tunaendelea na msuba na maombolezo niulize tu swali dogo, je alikuwa na.maelewmao mazuri na Naibu makamu wa Rais wa kwanza wa Dar?
 
Maelezo meeengi , lakini kilichomuua hakijaelezwa? Miaka 61 kwa mwenye pesa sio mingi, amekufaje?
Watoa habari bwana, ngoja sisi tuongeze kwa kusema kafa kwa umeme. Sio lazima.utaje hasa kilichomuua, lakini kwa nafasi yake Mafuruki kwenye jamii huwezi kuficha kiasi hicho, at least unaweza kusea amefarikiam kwa maradhinya moyo, figo, saratani ya damu au ya ubongo inatosha kuhabarisha jamii.
 
Hakuna watu wa maana na wasio wa maana mbele ya mwenyezi Mungu wote tuna thamani sawa cha msingi tumuombee ndugu yetu Mfuruki apumzike kwa amani kwani sisi wote nun wafu watarajiwa
 
Wanakufa watu wa maana!!! Wanabaki wa ovyo ovyo.... Mweeeeee .. Ali! Jamani! Of all the people!! If death would claim the life of you know who!! Tanzania would burst in jubilation. Anyway who am I to question...but its very unfair. Fate has decided monsters and useless dudes should live longer. But not for long!!!!
Mfano wewe, bora ungekufa wewe aisee! As you know the fact that you are an article of no commercial value!

Go Mfuruki NSHOMILE
 
Mungu amsamehe madhambi yake.

wakati tunaendelea na msuba na maombolezo niulize tu swali dogo, je alikuwa na.maelewmao mazuri na Naibu makamu wa Rais wa kwanza wa Dar?
Naona taratibu mtaanza kufunguka sasa enheee
Hebu tuambie makamu yupi wa sasa au wa awamu ipi?
 
Kuwen makini sana kuongea na watu wanaoonekana wameenda kinyume na shina lililojichimbia chini...
 
Rest in Peace
image_854d1476-4335-4bb7-9959-03a6f03bd35c20191208_181516.jpeg
 
My condolences to his family! Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi. Nitazidi kukuombea kwa Mungu akakupunguzie adhabu ya kaburi jirani yangu. Nitamiss Sana zile salamu zako za kila asubuhi unipitapo njiani! Pumzika kwa amani.
 
Back
Top Bottom