barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoa habari bwana, ngoja sisi tuongeze kwa kusema kafa kwa umeme. Sio lazima.utaje hasa kilichomuua, lakini kwa nafasi yake Mafuruki kwenye jamii huwezi kuficha kiasi hicho, at least unaweza kusea amefarikiam kwa maradhinya moyo, figo, saratani ya damu au ya ubongo inatosha kuhabarisha jamii.Maelezo meeengi , lakini kilichomuua hakijaelezwa? Miaka 61 kwa mwenye pesa sio mingi, amekufaje?
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na nini
Mfano wewe, bora ungekufa wewe aisee! As you know the fact that you are an article of no commercial value!Wanakufa watu wa maana!!! Wanabaki wa ovyo ovyo.... Mweeeeee .. Ali! Jamani! Of all the people!! If death would claim the life of you know who!! Tanzania would burst in jubilation. Anyway who am I to question...but its very unfair. Fate has decided monsters and useless dudes should live longer. But not for long!!!!
Naomba namba mkuu nimpe pole kwa kufiwa na baba yakeAmeacha kabinti kazuriView attachment 1285556
Naona taratibu mtaanza kufunguka sasa enheeeMungu amsamehe madhambi yake.
wakati tunaendelea na msuba na maombolezo niulize tu swali dogo, je alikuwa na.maelewmao mazuri na Naibu makamu wa Rais wa kwanza wa Dar?
Classmate kafa bilionea .wewe unastaafu ualimu.life is not fairRIP MY SCHOOL MATE AND HOUSE MATE MOSHI SEC SCHOOL.