monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Duniani tunapita!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa Nini watanzania wengi wakienda tibiwa Afrika kusini huwa wanafariki?Ali Mufuruki amefariki dunia leo asubuhi huko Afrika ya Kusini.
Ee Mwenyezi Mungu tunusuru watu weusi matajiri wenzetu weusi wanakufa Mengi kafa Mfuruki kafa tutabakia na matajiri wahindi na waarabu tu?Rest in Peace kama ishathibitishwa.
Huyo massawe hata top 20 hayupoHapana,kuna mwingine smbd Massawe
Mzee hao wanaji associate na Waarabu zaidi kuliko weusi,Ni kujiconsider tu, ila wale wanyamwezi.
Cost cutting zip wamekata?Operation haziwezi kua vile vile , zinakuaje vile vile wamefanya (Cost Cutting) hela inaonekana matumizi yasiyo ya lazima wamekata
Ni utahira wao tu.Mzee hao wanaji associate na Waarabu zaidi kuliko weusi,
...Pata Uhakika Mkuu. Inawezekana ni Mjukuu wake kutoka kwa Mabinti zake?Acha uongo,ana mtoto wa kiume tena mdogo sana,sidhani hata kama kafikisha miaka 7 huyu mtoto,kwa mke wake Msomali hapa Kunduchi mtaa wa 170... Ni jirani yangu,so najua ninachoandika
Huyo mama wa kisomali (naamini ndiye) alimzalia mtoto wa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kama 20 hivi. Anaitwa Tegenye A. Mufuruki
Kimuondoa ndio nini?Nini kimuondoa?
Baada ya Mengi kuondoka yeye ndio alikuwa mtanzania mweusi mwenye ukwasi akiyebakia
Itakuwa mod haoo,tena hao sitak kuwaongelea sana kuna kadada kamoja kalinipa ban kisa nilimsema akanishukia kama mwewe
Utakuwa unakusanya takwimu za vyanzo vya vifoChanzo Cha kifo chake?
WAAKA URITHI NN MAANA PICHAIPOHebu tuwekee na picha tumuone wengine tulikuwa hatumjui
madam unaquote mtu kwa ajili tu ya kumsahihisha spelling? mbona kuna vingi vya kuchangia jamani, au ndio umekuwa bored sanaKimuondoa ndio nini?
Kwamba wapemba au watu wa Mkuranga ni Waarabu?utahira wao ila ndio hali halisi
Kweli wewe ni Great thinkermadam unaquote mtu kwa ajili tu ya kumsahihisha spelling? mbona kuna vingi vya kuchangia jamani, au ndio umekuwa bored sana
Comment zangu kwa Kiswahili zinakuwa na error mara nyingi sababu Kiswahili hakina spelling check kama English, na sijali sana sababu haya ni majadiliano tu ambayo hayana uzito wowowte, sio barua ya kuomba kazi au tenda au posa
Kwani wapi nimesema naamini uwepo wa Mungu?Ila mkuu huwa huamini uwepo wa Mungu.