TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Ali Mufuruki amefariki dunia leo asubuhi huko Afrika ya Kusini.
Hivi kwa Nini watanzania wengi wakienda tibiwa Afrika kusini huwa wanafariki?
India Ni kuzuri zaidi.Afrika kusini wengi wanarudi kwenye majeneza.

Watanzania wakienda tibiwa Afrika ya kusini uwezekano wa kurudi wazima Ni.mdogo
 
Acha uongo,ana mtoto wa kiume tena mdogo sana,sidhani hata kama kafikisha miaka 7 huyu mtoto,kwa mke wake Msomali hapa Kunduchi mtaa wa 170... Ni jirani yangu,so najua ninachoandika
...Pata Uhakika Mkuu. Inawezekana ni Mjukuu wake kutoka kwa Mabinti zake?
Hata mimi nilikuwa najua mzee wetu ana Mabinti tu...!
 
...'Huyo mama wa Kisomali', Mkuu?
Ina maana sio ndiye Mkewe...ama sijaelewa?
Huyo mama wa kisomali (naamini ndiye) alimzalia mtoto wa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kama 20 hivi. Anaitwa Tegenye A. Mufuruki
 
Kimuondoa ndio nini?
madam unaquote mtu kwa ajili tu ya kumsahihisha spelling? mbona kuna vingi vya kuchangia jamani, au ndio umekuwa bored sana
Comment zangu kwa Kiswahili zinakuwa na error mara nyingi sababu Kiswahili hakina spelling check kama English, na sijali sana sababu haya ni majadiliano tu ambayo hayana uzito wowowte, sio barua ya kuomba kazi au tenda au posa
 
Kweli wewe ni Great thinker

You have my respect!!

Kula like mzee!!

Agiza na Pepsi kubwa nakuja kulipa!!
 
Back
Top Bottom