Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Alikua na mke mmojaWaislam wanaruhusa kuoa wanawake zaidi ya mmoja, hivyo sijui Mufuruki alikua na wangapi.
Pole mama Tegenye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua na mke mmojaWaislam wanaruhusa kuoa wanawake zaidi ya mmoja, hivyo sijui Mufuruki alikua na wangapi.
Pole mama Tegenye.
Tatizo hauna exposure so unataka Hadi uwakute vichochoroni ndio uanze kuwatongoza hiyo ni njia primitive Sana.
Siku hizi Kuna njia nyingi Sana za kuanzisha mahusiano na watu wa aina yoyote duniani.
Bakhresa ni mbongo black pipo sema ndo zile kujikuta namna ganiHivi Bakhresa sio Mbongo wa ngozi nyeusi yule?
Ni kweli kabisaAllah amrehemu ndudu yetu.............kweli tutaenda na amali na si mali leo Ali yeye na ubilionea wake aendi hata na mali moja?.......... tumrudie M/MUNGU kwakweli.
Kuoa Mke zaidi ya mmoja ni kosa,nyie ndio watu mnaolazimisha mawazo yenu yawe sheria.Kitu nilichokiona kwa huyu bwana ni aliona wakati ana miaka 35 na alioa mke mmoja tu sasa unakuta mtu amepanda chei tu kazini anataka aongeze mke wa pili...mara maswali kama mia mbili ooh mboba huoi unaona lini etc...
Acha uongo,ana mtoto wa kiume tena mdogo sana,sidhani hata kama kafikisha miaka 7 huyu mtoto,kwa mke wake Msomali hapa Kunduchi mtaa wa 170... Ni jirani yangu,so najua ninachoandika
Amezaa mtoto wa kiume anaitwa TIGHENYE na mabinti zake watatu ni ZAHRA, LEYLA mwingine nimemsahau
Tumia mitandao mbalimbali kulink na watu itakusaidia kurahisishaTupe mfano wa hizo mbinu mkuu za kuanzisha mahusiano na watu wa aina yoyote duniani
Kizuri kula na nduguyo
Hakuna maendeleo bila ubishi.
Mkuu mimi sio mfuasi wa wanaoamini katika mke zaidi ya mmoja..tatizo kuna sheikh wao mmoja alikua anakashifu waislamu kwamba unakua na mke mmoja kama mkilisto...narudia tena kama mkilisto...na sio mkristoKuoa Mke zaidi ya mmoja ni kosa,nyie ndio watu mnaolazimisha mawazo yenu yawe sheria.
Nipo ndugu yangu, nimesikitika sana, kujieleza mawazo yangu tu naambiwa namchukia Magufuli.Kiranga upo?
Kwa hiyo Marehemu( RIP) alikuwa na wake wawili ?Abdulrazack Tegegne Mufuruki. Mabinti ni Zahra, Leyla na Sophia
Chuki binafsi nimchukie mtu yuko Bongo mimi niko viwanja vikubwa itanisaidia nini?
Ujue ukijadiliana na mtu ambaye macho yake mwisho wa kuona ni kwenye pua yake tu, ukimueleza kuhusu gari, atakuuliza "linafanana na pua?".Hahahahah daah, sawa mkuu
Kwa hiyo Marehemu( RIP) alikuwa na wake wawili ?
Sawa.Mkuu mimi sio mfuasi wa wanaoamini katika mke zaidi ya mmoja..tatizo kuna sheikh wao mmoja alikua anakashifu waislamu kwamba unakua na mke mmoja kama mkilisto...narudia tena kama mkilisto...na sio mkristo
Acha ukabila watu tuko na majonzi hapaAiseee kweli ww ni Muhaya, yaani umekufa bado unaona sifa watu kuongea lugha ya kingereza kwenye mazishi??