TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Tatizo hauna exposure so unataka Hadi uwakute vichochoroni ndio uanze kuwatongoza hiyo ni njia primitive Sana.
Siku hizi Kuna njia nyingi Sana za kuanzisha mahusiano na watu wa aina yoyote duniani.

Tupe mfano wa hizo mbinu mkuu za kuanzisha mahusiano na watu wa aina yoyote duniani

Kizuri kula na nduguyo
 
Kitu nilichokiona kwa huyu bwana ni aliona wakati ana miaka 35 na alioa mke mmoja tu sasa unakuta mtu amepanda chei tu kazini anataka aongeze mke wa pili...mara maswali kama mia mbili ooh mboba huoi unaona lini etc...
Kuoa Mke zaidi ya mmoja ni kosa,nyie ndio watu mnaolazimisha mawazo yenu yawe sheria.
 
Kuoa Mke zaidi ya mmoja ni kosa,nyie ndio watu mnaolazimisha mawazo yenu yawe sheria.
Mkuu mimi sio mfuasi wa wanaoamini katika mke zaidi ya mmoja..tatizo kuna sheikh wao mmoja alikua anakashifu waislamu kwamba unakua na mke mmoja kama mkilisto...narudia tena kama mkilisto...na sio mkristo
 
Kiranga upo?
Nipo ndugu yangu, nimesikitika sana, kujieleza mawazo yangu tu naambiwa namchukia Magufuli.

Watu wengine wanaona jambo dogo hilo kusema, lakini sisi watu wa one love ni tuhuma kubwa sana.

Sasa mtu nikipambanisha "Das Kapital" na "The Wealth Of Nations" na kusema hapa mnaharibu, mtu ambaye hajui wapi kulia na wapi kushoto ambaye hawezi kujibu kwa hoja, anakuja kufupisha mjadala kwa kashfa za "chuki binafsi"?

Chuki binafsi nimchukie mtu yuko Bongo mimi niko viwanja vikubwa itanisaidia nini?
 
Hahahahah daah, sawa mkuu
Ujue ukijadiliana na mtu ambaye macho yake mwisho wa kuona ni kwenye pua yake tu, ukimueleza kuhusu gari, atakuuliza "linafanana na pua?".

Ukimueleza kuhusu ndege atakuuliza "inafanana na pua?".

Ukimueleza kuhusu meli atakuuliza "inafanana na pua eeh?"

Kwa sababu pua ndiyo kitu pekee anachojua.

Na hawa watu wenye upeo wa kuishia kwenye wigo wa "anayemsema vibaya Magufuli ni lazima ana chuki binafsi tu" wako hivyo hivyo.

Hawajui kwamba unaweza kumsema mtu vibaya kwa mitazamo ya kifalsafa tu, bila chuki binafsi.

Ukiwaeleza utasikia wanakimbilia kutaja chuki na hasira.

Ni ulofa tu, hamna kingine.
 
Mkuu mimi sio mfuasi wa wanaoamini katika mke zaidi ya mmoja..tatizo kuna sheikh wao mmoja alikua anakashifu waislamu kwamba unakua na mke mmoja kama mkilisto...narudia tena kama mkilisto...na sio mkristo
Sawa.
 
Back
Top Bottom