TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Inashangaza Mufuruki hakuzaa na Mjerumani enzi alipokuwa Mwanafunzi Ujerumani. Inaonekana aidha alikuwa very self-disciplined au familia yake walmpa bonge la NO kuhusu mapenzi na wanawake wa Kizungu. Wanaume wa rika lake wengi walirudi na wake wa Kizungu toka Ulaya.
 
Hivi visambuzi vyetu vya ZUKU sasa sijui itakuwaje sijui navyo vitakufa.
 
Naifkiria ile voice note ya dada wa ally mfuruki kuhusu vitimbi vya mke wa marehemu dhidi ya mama mkwe wake.kama ni kweli basi dunia ina viumbe wazito mno


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naifkiria ile voice note ya dada wa ally mfuruki kuhusu vitimbi vya mke wa marehemu dhidi ya mama mkwe wake.kama ni kweli basi dunia ina viumbe wazito mno


Sent from my iPhone using JamiiForums
ila hawa wanawake tunao kutana nao na kuishi nao 'ukubwani' baada ' ya mambo kuwa safi' hawa Mungu anawaona, yaani ndugu wa alli ukiwaona ni choka mbaya ya hataree, yaani jamaa alikamatika adi kushindwa kuwatupia ndoano wadogo zake ili wakavue samaki wenyewe, kwa kweli wana haki ya kumlalamikia mke wa marehem…………...
 
Kwahiyo mliokuwa mnayajua haya Mafanikio ya Marehemu Mzee Ali Mufuruki ( R.I.P ) kuwa kumbe Yeye ndiyo alikuwa Mmiliki wa Maduka makubwa ya Nguo ya Woolworth na Kampuni ya Visimbuzi ya Zuku mlikuwa mnasubiri afe / afariki kama hivi ndiyo mje mtuambie? Sasa hapa kuna Tija na Mantiki gani kwa Sisi kujua wakati Yeye ameshatutoka duniani? Je, twende Kaburini Kwake Kinondoni alipopumzishwa Jana tukamuulize jinsi alivyofanikiwa hivyo ( Kiutajiri ) huku Yeye akiwa Kalala zake Udongoni na Sisi tukiwa tumesimama kwa juu? Watanzania tuacheni Unafiki na huku ni Kumkosea sana Heshima Marehemu.

Na huu ndiyo umekuwa Muendelezo wa tabia mbalimbali za Kinafiki ambazo mara zote utazikuta tu kwa Watanzania. Kwa mfano muda si mrefu nimetoka Kugombana na Kaka Mmoja Msibani ambaye ni Ndugu wa Damu kabisa na Marehemu Mtaani Kwetu ambaye Siku zote Marehemu Kaka yake alipokuwa anaumwa na alirudi Kwao katika Nyumba yao ya Urithi Yeye ( huyu Kaka Ndugu na Marehemu ) alikuwa hamsaidii kwa lolote lile Marehemu na hata Mkewe alipokuwa akija na Mwanae alikuwa hamsalimii Marehemu na alikuwa akimwambia Mwanae huyo ( Mdogo ) asimsalimie Marehemu kwa Kumshika Mkono leo Jamaa ameshakuwa Marehemu huyu Ndugu Mtu ndiyo ' anajimwambafai ' hapa Msibani kuwa atausimamia Msiba wote huu huku hivi sasa Mkewe ' Mbaguzi ' ndiyo analia na Kugalagala utadhani Marehemu alipokuwa Hai alikuwa na Upendo nae.

Nina uhakika haya Mafanikio makubwa ya Marehemu Mzee Ali Mufuruki Watanzania tungeambiwa wakati akiwa Hai wengi wetu tungeweza kuwa ' Inspired ' kiuahisi na kuna wengine kama Sisi akina GENTAMYCINE huwa tunapenda Kuhoji na Kudadisi sana mambo mbalimbali ya Kimaendeleo basi huenda tungeomba ' appointment ' nae ( Marehemu ) ili atupe Madini yake mengi ili tujifunze na pia wengine kwa Kalamu zetu / Maandiko yetu Mitandaoni tungeweza pia ' Kushea ' na wengine na ndiyo Utamaduni ulivyo. Mbona Marehemu Mzee Reginald Abraham Mengi ( R.I.P ) Mafanikio yake tuliambiwa akiwa bado Hai na nina uhakika wapo Watu ambao baada ya Kumjua walimfuata ili awape Madini yake zaidi na huenda nao leo wamekuwa ni Watu ( Watanzania ) wenye Mafanikio Kibiashara / Kiujasiriamali.

Nenda Kampuzike kwa Amani kabisa ' Business Genius ' Mzee Ali Mufuruki ( Mtani wangu wa Kihaya kama sijakosea ) na Mimi GENTAMYCINE natamani Siku moja nije kuwa Tajiri kama Wewe japo Mimi sitopenda Utajiri wangu ambao najua utakuwa ni wa ' Kutukuka ' kabisa Watanzania waje kuambiwa nikiwa nayaanza Maisha yangu ya Milele na Kudumu Kaburini.

Nimekereka kabisa kwa hili na nachukia sana / mno Unafiki na Sifa za Kijinga ( Kingumbaru ) au za Kipumbavu ( Kipopoma )
 
Naifkiria ile voice note ya dada wa ally mfuruki kuhusu vitimbi vya mke wa marehemu dhidi ya mama mkwe wake.kama ni kweli basi dunia ina viumbe wazito mno


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wifi akatafute vyake
 
Dada wa marehemu kaamua kujipambanua yeye na familia yake,shetani akikutumia anakuacha unadhalilika mwenyewe ukijiona unadhalilisha wengine
Huyo dada ni mnafki kama wanafki wengine wa bongo.
 
...utajiri wetu waafrica una siri nzito sana mkuu.
...namfahamu jamaa mwingine wa kwetu naye yuko njema mno ila ndugu zake ni shida tupu...najiuliza VIP usindwe hata kusaidia baba na mama yako...achilia mbali wadogo /kaka zako kama kweli unazo ?....halafu utaona mashemeji ndio wanakula shushu...sad
ila hawa wanawake tunao kutana nao kuwaoa 'ukubwani' baada 'mambo kuwa safi' hawa Mungu anawaona, yaani ndugu wa alli ukiwaona ni choka mbaya ya hataree, yaani jamaa alikamatika adi kushindwa kuwatupia ndoano wadogo zake ili wakavue samaki wenyewe, kwa kweli wana haki ya kumlalamikia mke wa marehem…………...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naifkiria ile voice note ya dada wa ally mfuruki kuhusu vitimbi vya mke wa marehemu dhidi ya mama mkwe wake.kama ni kweli basi dunia ina viumbe wazito mno


Sent from my iPhone using JamiiForums
Clip haina kipya, tuliyasikia kwa Mengi na hamna kilichobadilika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza Mufuruki hakuzaa na Mjerumani enzi alipokuwa Mwanafunzi Ujerumani. Inaonekana aidha alikuwa very self-disciplined au familia yake walmpa bonge la NO kuhusu mapenzi na wanawake wa Kizungu. Wanaume wa rika lake wengi walirudi na wake wa Kizungu toka Ulaya.
Kwani wabongo wengi waliosoma na kufanikiwa kimaisha wamepata elimu zao kwenye nchi za magharibi au Asia ?
 
Back
Top Bottom