TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Izrael sa nyingne kumbe muoga, anavizia ukiwa umelala. Dawa ni kulala na panga mkononi, au akiingilia kwenye pembe ya ukuta we unapotea kwenye sakafu.
 
Mbona yalisemwa humu kuwa gari ya Irene inafanyiwa service pale kwenu garage ya Mwananyala si nzima sana.

Ndipo hapo sasa nawashangaa ' abiria ' wengine kuanza kusema sijui Dereva labda ni stress za kuendesha Gari muda mrefu au sijui aliachika wakati ' Watoto ' wa mjini wa ' Watu wa mpira ' tuliyemjua Ndiku kitambo tu tulishatonywa kwamba siku nyingi Gari yake iligonga nguzo ya Umeme huku akiwa ameweka mziki mkubwa wa Kikongo ambao kwa mbali sana lilikuwa linasikika Gitaa la Dally Kimoko akilikung'uta vizuri upande wa Sebene. Na unaambiwa tokea siku hiyo wapate hiyo Ajali hapa katika Nguzo hiyo ya Umeme huku akiwa na Irene basi ilimlazimu tu Irene awe anapatia tu service ya Gari yake hapo hapo Mwananyamala Garage siku za Jumanne na Ijumaa.
 
Ndoa zina siri nyingi labda ndiyo sababu ya kuachana.
 

Aisee kumbe mambo ndivyo yalivyo
 
Jamani tubet nani anafuata.
Zari -Diamond = Ivan
Uwoya -Janjaro =Ndikumana
solve Zamaradi vs Jamaa yake mpya=?
Soln
from eqn 1&2 use log X base 10 both sides
Also let Ruge to be an Element of X. Wadau wa Integration mtaendelea.
RIP NDIKUMANA
MKUU NANI ANATABIRI KIFO CHA MTU
 
Hahaaaa asante sana kiongoz wangu balikiwa sana
 
Dah. haya mapenzi haya ni basi tu, madhara ya kupenda hadi mtu unaamua kudodosha kabisa rimoyo rako kwa mwanamke ndo hayo sasa.....!
Si mama yako yule na muda wowote anaweza kukugeuka!!
 
[emoji443].....Dalikimoko....[emoji447]
Kweli shemeji nimekusoma, tena pasi na lepe la mashaka....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kweli
 
Jamani tubet nani anafuata.
Zari -Diamond = Ivan
Uwoya -Janjaro =Ndikumana
solve Zamaradi vs Jamaa yake mpya=?
Soln
from eqn 1&2 use log X base 10 both sides
Also let Ruge to be an Element of X. Wadau wa Integration mtaendelea.
RIP NDIKUMANA
si kwa mahesabu haya duuh
wanaume hawawezi kuhimili mikikimiki sana tofauti na wanawake, na mbaya zaidi hawaongei vinavyowasibu, wako radhi wakae kimya huku wanaugulia ndani kwa ndani, ndio maana ni rahisi kupatwa na magonjwa ya moyo na vifo vya ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…