TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

yani kwa maumivu wanayopewa wanawake wangekuwa wanapewa wanaume wangeshaisha duniani.
 
Ndivyo nilivyo mimi
 
Cc: Boss wa Clouds.....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Tunawapitisha watoto katika mazingira magumu hii picha sijui mtoto ataielewaje na ataichukuliaje
namfikiria mtoto
Huyu mtoto lazima akikua atamchukia mama tu maana kwa sasa atadanganywa lakini akikua atapata habari yote na hivyo hatompenda mama kabisa pole Irene, akiweza amuweke mtoto karibu na familia ya Ndiku ili mtoto azoee haya maisha mapema likizo aende huko

Pole sana familia ya Ndikumana kilichobaki ni Innalillah wainailaih rajiun
 
1. Ivan - Alijifanya hana habari kwa Zari, kumbe alikua akiumia kwa ndani na mwisho tukampoteza. R.I.P
2. Ndikumana - Akajifanya hajali kwa Irene, kumbe alikua anaumia kindani, na leo tumempoteza. R.I.P
Sasa nitatafutaje suluhisho wakati Zamaradi ndio kaisha olewa....[emoji19] [emoji19]
Minimemuachia tu Mungu.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
utafute suluhisho mapema
 
Hii chain mbona itaunganisha wengi
Jamani. Si juzi tu.alikuwa ok.
Kweli kifo tunatembea nacho...
Pumzika kwa amani. Shem

Ujumbe tosha huu, hapa dunian tunapita pita... ipo siku nitashangilia vifo vya watu flani si kwa mateso nayokumbana nayo...
 
tehe tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…