TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Asubuhi ya leo Tanzania imezipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Mumewa Zamani wa IRENE UWOYA na Kocha msaidizi wa timu ya RAYON SPORTS ya Rwanda, HAMAD NDIKUMANA KATAUTI ambae amefariki ghafla.

Mwandishi wa habari za Michezo Wa FOOTBALL SITE ameripoti kwamba Gakwaya Olivier ambae ni Afisa Habari wa Timu hiyo amesema Ndikumana amefariki kwa kile kinachosadikiwa kuwa ni ugonjwa wa moyo.

“Alisikia maumivu makali kifuani akaomba soda ya baridi wakamletea na alipomaliza kunywa tu kidogo akatapika na akaishiwa pumzi na ndipo akakata kauli, bado tunasubiri uchunguzi wa kina wa kitabibu”

Marehemu aliwahi kucheza soka Tanzania akiwa na Stand United na ni Mume wa zamani wa Mwigizaji Irene Uwoya na wana mtoto mmoja.

RIP Ndikumana
 
R.I.P NDIKUMANA
 
Basi watu wataanza kuhusisha na ndoa ile ya mtoto na mamayake mdogo
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Back
Top Bottom