TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Kustaafishwa ni "kielezi" tuu!! Suala ni aliwahi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar: period!!
 
R . I .P , Mzee wetu .Poleni wafiwa wote..
 
mi mbona sielewi hicho kifungo? cha nyumbani ki vipi? Mwaka 2002 aliwahi kuja Geita kulikuwa na kongamano la kiislamu pale kwa muda wa siku mbili. Halafu kuna wakati alikuwa akivuka siku za Ijumaa kwenda kusali huko mjini.
Sina uhakika kuhusu hilo la kuja Geita,ila inasemekana atiwa kifungo cha nyumbani na Nyerere baada ya kuanza kudai serikali tatu badala ya hizi mbili. Hivyo alikamatwa na akazuiliwa nyumbani kwake pale kigamboni.Na polisi walikuwa wakipeana zamu kulinda pale kwake.
 
Hayo ya kuondolewa unceremoniously na kuwekwa kizuizini ndio kwanza nayasikia kwako. Point taken.
 

Geita ni kweli, Mimi nilikuwepo kwenye hilo kongamano
 
mi mbona sielewi hicho kifungo? cha nyumbani ki vipi? Mwaka 2002 aliwahi kuja Geita kulikuwa na kongamano la kiislamu kwa muda wa siku mbili. Halafu kuna wakati alikuwa akivuka siku za Ijumaa kwenda kusali huko mjini.

muda wote huu wakuja Geita na Kuvuka maji wewe upo pembeni unamwanagalia? umemabiwa au umemuona akifanya hivyo?
 
Kama binadamu na yeye kuna mambo ya kishenzi aliyowafanyia wengine kwa sababu ya tamaa za mwili
 
RIP Mzee Aboud Jumbe, utakumbukwa kama Rais wa pili wa Unguja na Pemba baada ya mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…