TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Leta hoja ya historia inayoonyesha kuwa uislam ulikuwepo tangu Adamu; mimi nimedokeza tu baadhi ya mambo ya ukweli ambao hata muislam yoyote aliyepita kidogo tu kwenye darasa ya historia ya dunia ambayo kimsingi imeandikwa ndani ya Bibilia hasa tunapoongelea the "ROMAN EMPIRE" utawala huu umetajwa sana katika kitabu cha Nabii Daniel kwa mtindo wa mnyama wa nne ambayeangekuja baada ya wale watatu kupita yaani Babeli ya Nebukadreza, Uajemi na Umedi ya Dario na Koreshi, na Ugiriki ya Alexander the Great angalia Daniel 7:1-28

Sasa ukifuatana na historia hii ya kusisimua ambayo Daniel Nabii anataja nyakati kuu nne za dunia, utakuja kuona kuwa Alexander aliwashinda Waajemi na Wamedi kwenye vita vya arena 35 BC na kazi hiyo kumalizika rasmi mwaka 32 BC, na hivyo Ugiriki kuibuka Himaya ya dunia. Kumbuka Wayahudi walichukuliwa utumwani Babeli na Nebukadreza mfalme huyu anajulikana kwa uhodari wake wa ujenzi wa bustani ya kuning'niza moja ya maajabu ya dunia ya wakati ule na pengine hadi leo.

Baada ya Waajemi na Wamedi kuiangusha Babeli (Iraq ya leo)ya Belshaza mtoto wa Nebukadreza, dunia ikawa chini ya Umedi na Uajemi, serikali ya muungano hii ndiyo iliyotoa ruhusa kwamba Wayahudi warudi kwenye nchi yao Israeli na wakaujenge upya mji wao Yerusalemu na gharama zote kuanzia chakul mpaka majitaji yote ya ujenzi Mfalme Koreshi aliandika barua kuwa ofisi ya mfalme ndiyo itatoa kila kitu ikiwemo na ulinzi wakati wakirudi kwao tazama Ezra 1:1-11.

Ugiriki (mnyama wa tatu mfano wa chui Danile 7:6) chini ya kijana wa umri wa miaka 22 tu iliwashinda wamedi na waajemi na hivyo Alexander kuwa mtawala wa dunia. Generali wa Kirumi Pompey aliwashinda vibaya Wagiriki wakati huo wakiwa wameshagawanyika baada ya kifo cha Alexander, hivyo Rome (mnyama wa nne na mwenye kuikanyaga dunia Daniel 7:7 -14) ikaitawala dunia na hadi amri ya kuhesabu watu wote duniani inatolewa na Kaisari Augustus ilibidi kila mtu arudi alikozaliwa kwa ajili ya sensa Luke 2:1-7 kumbe mimba ya bikira Mariamu ilikuwa tayari na miezi tisa hapo ndipo alipozaliwa YESU KRISTO MKOMBOZI wa ulimwengu.

Hii ni historia na mtu hawezi kuipinga kwa maneno ya kukaririshwa tu eti uislam ulikuwepo toka Adamu? hakuna kitu ni mambo ya hadithi tu kama vile ambavyo qur an haiwezi
kujitegemea yenyewe mpata uiambatanishe na hadithi za mashekhe, ni hadithi tu ukijumlisha na jihadi ambao ndo msingi mkuu wa uislam.

Hebu tujikumbushe maneno ya Roho Mtakatifu aliyomuonyesha Mtume Yohana miaka ile ya 89-93 A.D "Wapenzi msiiamini kila roho maana kuna roho nyingi zimeyokea dunia..... zijaribuni kwa njia hii.... kila roho inayokiri kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili ni yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwishakuwepo duniani" 1Yohana 4:1-3.

Sasa hapo ndiyo utajua jinsi gani hii roho ya mpinga Kristo inavyofanyakazi ndani ya mioyo ya watu.
 

Hivi unasoma biblia ipi ? KJV, RSV , NIV, QJV ?

Halafu niambie hiyo biblia yako iliandikwa na nani nna mwaka upi ?

By the way naona umeelewa namna Nyerere alivyokuwa akiongozwa na kanisa. Huna hoja hapo
 
Tatizo nililona kwako fikira zako zimekunyaa haziumkiki na kwa vile hata ukiambiwa chengine zaidi ya hayo kwako hayakuingii. Dunia ya sasa imebadilika watu wanahoji kisayansi hata uwepo wa dunia yenyewe na mungu. Sasa mtu kama wewe kipofu na macho yalipona ghafla mwanga na kunuona punda na upofu kurejea, basi kwako wewe chochote utakachoelezwa basi utaruka na kusema kama punda. Soma vitabu mbali mbali uijue dunia yako. Ukiyasoma ya kigiriki usiache na ya uturuki. Pia soma Adam in Islam, From Wikipedia, the free encyclopedia
 
uislamu ni imani inayojiegemeza katika kuamin mungu mmoja,muumbaji kila kitu,mwenye uwezo wa kufisha na kuweka hai,hakuzaa wala hakuzaliwa,hafi,kuamin juu ya siku ya malipo,pepo na moto,sasa iman hyo imeanza lini?
 


Ikiwa kuna mafungamano shida iko wapi ?.
 

Historia hiyo uliambiwa na hawa. Gay Catholic Priests
 
Naomba ni mtetee Mkapa kwani ali i-renovate nyumba ya marehemu mzee Jumbe kwa thamani ya TSh 80,000,000.00 (Milioni themanini) wakati wa hawamu yake ya pili. Mkapa aliwajibika vema kwa huyu mzee, Ahaji Aboud Jumbe.
Waste and abuse of tax shillings. Ndio maana ma kodi yanapanda kila siku nchi hii.

Hayati Jumbe alikuwa Makamu wa Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM mstaafu, I am sure alikuwa anapata pension from one source or another. A massive pension, 80% ya mshahara wa Rais wa Zanzibar wa sasa au 80% ya Makamu wa Rais wa Bongo au Makamu Mwenyekiti wa CCM, which ever is greater, kwa nini wananchi masikini tulipe renovation ya nyumba yake?????

Alishindwaje ku renovate nyumba yake mwenyewe? Wewe mwananchi nani anakupa hela ya ku renovate nyumba yako??????????

Halafu Rais Mkapa hana huruma na pesa ya nchi hii, jamani tuondoe mamlaka ya Rais kutoa mamilioni ya kodi zetu kwenda ku renovate nyumba ya mtu alitawala in the 70s na akaondoka ungracefully, Jumbe alifukuzwa Urais, akapewa life sentence house arrest Kigamboni without the possibility of parole, ndio maana hakuwahi kukanyaga Zanzibar tena! Kwanza aliua watu wengi sana alipo take over siku Karume alipokufa.
 
Shida iko kwa huyo anayekanusha kuwa nyerere hakuongozwa na kanisa

Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Alhaji Kikwete Khalfan waliongoza kwa kufuata misingi ya kanisa ?.
 
MUNGU ampe haki ya mbinguni by sheghe Aboud jumbe

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Alhaji Kikwete Khalfan waliongoza kwa kufuata misingi ya kanisa ?.

Umesahau kauli za Pengo kuwa kikwete ni chaguo la Mungu ? Vipi ile biblia aliyo kabidhiwa na Maria Nyerere kule Butiama ilikuwa ya kazi gani ? Au Dar es Salaam ziliisha madukani?
 
Utasikia mapambioo n'a kuanza kumsifiaaa
Muda wote mlikuwa kimyaa..

Apumzike kwA amani
CCM wana laana. Aliyetangaza siku saba za maombolezi wakati marehemu alitaka ziwe siku 2, ana laana kubwa sana. Na kwa unafiq mkubwa, gazeti la CCM (Habari Leo) limeandika UCHOCHEZI kwamba eti huyu mzee amefariki kwa uzee wakati amekufa kwa sababu ya kuwekwa kizuizini na CCM kwa sababu tu ya kuwatetea wazanzibar dhidi ya dhuluma ya muungano. Kama kweli CCM mlikuwa mnamthamini huyu mzee kwanini mmemuacha afie kigamboni kama mbwa pasipo kumpeleka hospitali ya Apollo nchini India akatibiwe? CCM acheni unafiki wenu uchwara.
 
Mmmhuu.....
Hatari
 

Pamoja NA ufungwa hapa nitetee serikali huyu Mzee Haki Zake ZA matibabu tena uingereza alikuwa anapata ..Kati ya WAZEE walioigharimu serikali KWA matibabu ni jumbe NA kawawa
 
Pamoja NA ufungwa hapa nitetee serikali huyu Mzee Haki Zake ZA matibabu tena uingereza alikuwa anapata ..Kati ya WAZEE walioigharimu serikali KWA matibabu ni jumbe NA kawawa
Sasa kwanini amefia kigamboni kama mtu wa kawaida badala ya kufia Apollo au St Thomas ambako viongozi wengine hufia? Wewe jambo dogo kama hili unalishindwaje kulielewa?
 
Mungu wangu mada sasa itageuka kuwa mpambano wa hizi dini mbili zisizopendana. Hii post yako na uliyemnukuu umeharibu, watu tulikuwa bize kupata historia hapa nyie mmeleta udini.
 
Historia hiyo uliambiwa na hawa. Gay Catholic Priests
Leta hoja na uonyeshe uwepo wa kiislam kuanzia karne ya kwanza hadi ya nne A.D na uhusuiano wake na serikali za wakati huo tena utaje na majina ya watawala wa wakati huo maana kila mtu anajua wazi kuwa Rome iliitawala dunia kuanzia B.C hadi 447 A.D ilipoanguka kisha kila sehemu kujitangazaia utawala wake. Hapa tunajadili kwa hoja na matukio ya ukweli ya enzi hizo ikiwemo kuzaliwa na kufufuka kwa BWANA YESU KRISTO na mambo kadha wa kadha yaliyolipata Kanisa baada ya YESU kurudi mbinguni, pia tunaangalia uhusiano wa Ukristo na dini zingine zilizokuwepo enzi hizo mfano: Mtume Paul alipofika Athene Ugiriki alikuta Wagiriki waanabudu mungu asiyejulikana Angalia Matendo ya Mitume 17:16-34. hakuna mahali Paul au Mitume wengine walikutana na uislam na ndiyo maana uislam hautajwi wala kuandikwa ndani ya Biblia kwasababu haukuwepo kabisa; ila roho ya mpinga Kristo inatajwa nayo husema Yesu hakuja katika mwili wala siyo Mkombozi wa wanadamu. roho hii ilikuja kujifunua baadaye miaka zaidi ya 500 baada ya Kristo.
 
Mungu wangu mada sasa itageuka kuwa mpambano wa hizi dini mbili zisizopendana. Hii post yako na uliyemnukuu umeharibu, watu tulikuwa bize kupata historia hapa nyie mmeleta udini.
Mkuu ukiona mtu anataka kupotosha jamii na wewe unajua kuwa anapotosha ni lazima umjibu kwa hoja zenye ukweli nayeye lazima alete hoja za ukweli tena zile ambazo kila mtu angalau anaweza kuzikumbuka kwakufuatilia historia, tena historia yenyewe ni lazima iwe inajulikana na watu aidha wasioamini au wanaoamini siyo ile anayoijua mwenyewe tu.
 
Mimi ni mkristo lakini napinga kabisa kutumia msaafu wa dini nyingine ili kupinga uhalali wa dini nyingine. Ukitaka kuupinga uislamu ingalau tumia kitabu chao, na ukristo hivyo hivyo tumia biblia. Lakini nachukizwa na uzi huu kugeuzwa wa kidini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…