Leta hoja ya historia inayoonyesha kuwa uislam ulikuwepo tangu Adamu; mimi nimedokeza tu baadhi ya mambo ya ukweli ambao hata muislam yoyote aliyepita kidogo tu kwenye darasa ya historia ya dunia ambayo kimsingi imeandikwa ndani ya Bibilia hasa tunapoongelea the "ROMAN EMPIRE" utawala huu umetajwa sana katika kitabu cha Nabii Daniel kwa mtindo wa mnyama wa nne ambayeangekuja baada ya wale watatu kupita yaani Babeli ya Nebukadreza, Uajemi na Umedi ya Dario na Koreshi, na Ugiriki ya Alexander the Great angalia Daniel 7:1-28Sipendi kuingia kwenye ubishi unaohusu imani, ni hatari sana. Lakini hivi tujiulize nini uislamu? ukauelewa basi hupingi kuwa hata Adam alikuwa muislamu.Mimi na wewe sote tumezaliwa waislamu na kwa kuhofia tutaendelea kuwa hivyo ndio maana tunatendewa tendo la kubatizwa!
"Âdam is believed to have been the first human being and the first prophet on Earth in Islam. Adam's role as the father of the human race is looked upon by Muslims with reverence. Watume wameletwa kuyakumbusha yaleyalioltwa ka kupiotia Adam kwa wakati tofauti na zama zake. Wengine walikataliwa na watu wao mpaka leo, wengine walikubalika na watu wao baada ya kuuona ukweli n.k. Sasa usiwabeze hivyo wenzako ndivyo imani ilivyo.
Sasa ukifuatana na historia hii ya kusisimua ambayo Daniel Nabii anataja nyakati kuu nne za dunia, utakuja kuona kuwa Alexander aliwashinda Waajemi na Wamedi kwenye vita vya arena 35 BC na kazi hiyo kumalizika rasmi mwaka 32 BC, na hivyo Ugiriki kuibuka Himaya ya dunia. Kumbuka Wayahudi walichukuliwa utumwani Babeli na Nebukadreza mfalme huyu anajulikana kwa uhodari wake wa ujenzi wa bustani ya kuning'niza moja ya maajabu ya dunia ya wakati ule na pengine hadi leo.
Baada ya Waajemi na Wamedi kuiangusha Babeli (Iraq ya leo)ya Belshaza mtoto wa Nebukadreza, dunia ikawa chini ya Umedi na Uajemi, serikali ya muungano hii ndiyo iliyotoa ruhusa kwamba Wayahudi warudi kwenye nchi yao Israeli na wakaujenge upya mji wao Yerusalemu na gharama zote kuanzia chakul mpaka majitaji yote ya ujenzi Mfalme Koreshi aliandika barua kuwa ofisi ya mfalme ndiyo itatoa kila kitu ikiwemo na ulinzi wakati wakirudi kwao tazama Ezra 1:1-11.
Ugiriki (mnyama wa tatu mfano wa chui Danile 7:6) chini ya kijana wa umri wa miaka 22 tu iliwashinda wamedi na waajemi na hivyo Alexander kuwa mtawala wa dunia. Generali wa Kirumi Pompey aliwashinda vibaya Wagiriki wakati huo wakiwa wameshagawanyika baada ya kifo cha Alexander, hivyo Rome (mnyama wa nne na mwenye kuikanyaga dunia Daniel 7:7 -14) ikaitawala dunia na hadi amri ya kuhesabu watu wote duniani inatolewa na Kaisari Augustus ilibidi kila mtu arudi alikozaliwa kwa ajili ya sensa Luke 2:1-7 kumbe mimba ya bikira Mariamu ilikuwa tayari na miezi tisa hapo ndipo alipozaliwa YESU KRISTO MKOMBOZI wa ulimwengu.
Hii ni historia na mtu hawezi kuipinga kwa maneno ya kukaririshwa tu eti uislam ulikuwepo toka Adamu? hakuna kitu ni mambo ya hadithi tu kama vile ambavyo qur an haiwezi
kujitegemea yenyewe mpata uiambatanishe na hadithi za mashekhe, ni hadithi tu ukijumlisha na jihadi ambao ndo msingi mkuu wa uislam.
Hebu tujikumbushe maneno ya Roho Mtakatifu aliyomuonyesha Mtume Yohana miaka ile ya 89-93 A.D "Wapenzi msiiamini kila roho maana kuna roho nyingi zimeyokea dunia..... zijaribuni kwa njia hii.... kila roho inayokiri kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili ni yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwishakuwepo duniani" 1Yohana 4:1-3.
Sasa hapo ndiyo utajua jinsi gani hii roho ya mpinga Kristo inavyofanyakazi ndani ya mioyo ya watu.