TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Hivo alihukumiwa na mahakama au kitengo ???????!!!!!
 
Waliona wamemkomesha n'a kumtupa huko kigamboni leo kigamboni sehemu nzuri tu...
Angalau kaach legacy

Ova
 
Wacha kuwadanganya watu lini alipelekwa london kwa matibabu na hizo choko choko ulikuepo na tuoe ushahidi wa hilo jambo
 
Pumzika kwa amani mzee Aboud Jumbe. Msiba wapi mjimwema kigamboni?
 
Ah wapi Ngoja wanafki ma wana lumumba waanze kusogea hapo Kama ada yao
 
Lala Salama Aboud, Mwenyezi Mungu atatakufufua siku ya Mwisho!
 
Kweli mkuu unafiki kwa kwenda mbele, hata kumtembelea walikuwa hawaendi wakati ni hapo Kigamboni tu.

RIP mzee wetu mtakutana nao huko huko kwa hakimu wa Haki.
Utawasikia tuu wanavyo msifu.miaka yote hiyo wamemuweka kizuizini,siasa zetu hovyo kabisaaa
 
Huyu mzee alikuwa na roho ngumu sana! Angekuwa mtu mwingine angeishakufa zamani sana.
 
Kutoka exile ya ndani mpaka mahuti hakika fikra zako zitadumu na zitaishi miaka mingi miongoni mwa wazanzibar.

May God rest his heart in eternal repose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…