Kiukweli hali ni mbaya sana kwa huu ugonjwa wa Covid-19 ila pia kwa watu baadhi kulikuwa na tendency ya kwenda kutibiwa nje ya nchi kwa baadhi ya matatizo ya kiafya (Kuhusu Dr Sijui) ambayo hospitali za ndani hazina uwezo na saizi nchi yetu imesitisha safari za anga kwa abiria na nyingi ya hizo nchi zimesitisha watu kuingia na kutoka hiyo pia inaweza kupelekea watu hao kuzidiwa na kukosa huduma au kupata pressure kwa mawazo tu na kupelekea kufariki ,yote yanawezekana. Tuendelee kuchukua kila taadhari, Tuendelee kumuomba Mungu atusaidie kwa hili. Pumzika kwa Amani Dr.