TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Mkuu, kinachowamaliza ni COVID wao wanatangazwa kwakuwa ni wanajulikana ila ukweli vifo vimetapakaa sana. Yani watanzania ni tumekufa aisee! Tumeisha.
 
Hio corona inatakiwa iyauwe maccm yote maana yametesa watu sana tens wale wates wakuu wakiongozwa na baba yao pamoja na bashite wanatakiwa wafe kabisa.
Usiseme hivo mungu hapangiwi na huu ugonjwa hauchagui chama dini kabila wala jinsia Bali sote tuko ktk hali mbaya Leo katangulia yy kesho na weza kutangulia mm na siku nyengine akatangulia mtu yoyote ndani ya familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…