TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Mnaposema tahadhari binafsi ipoje??
Uhamie kisiwani??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nimeshaweka kibra shemeji yenu,baada ya hii post kibamia kimesinyaaa. daah rip mwanadiplomasia
Aiss mimi nafikiria mara mbili mbili hapa...nimtumie nauli au nimpotezee!!

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Yeye alivojifungia anakula nini?? Hizo nchi zingine watu wanaokaa ndani wanakula nini.ndio maana tutakufa hovyo kwa akili za kijinga Kama zakwako
Siyo kila nchi wamejifungia mkuu hata huko ulaya sio baadhi ya nchi hawajajifungia, mfano Sweden watu wapo mitaani, hotel na migahawa ipo wazi, watu wameambiwa juhudi za kujikinga kila mtu atumie akili zake. Sweden ina vifo na wagonjwa wengi tuila sio kama Italia na USA waliojifungia!
 
Mkuu, kinachowamaliza ni COVID wao wanatangazwa kwakuwa ni wanajulikana ila ukweli vifo vimetapakaa sana. Yani watanzania ni tumekufa aisee! Tumeisha.
Inawezekana mkuu, ila pia kwa watu waliokuwa wanategemea hospitali za nje ikitokea kipindi hiki ndicho cha mahudhurio ya clinic zao au wakizidiwa wanakuwa hawana option. Ingawa picha ya mazishi hupelekea kuhisi chanzo cha kifo.
 
Atoke nje kuendelea na majukumu yake Kama kawaida. Akakague miradi ,ahudhuria mikutano yake ya mabaraza tuone Kama anaweza kufanya hivyo. Huwezi kuwaambia watu waendelee kujichanganya kuchapa kazi huku wewe umeji isolation. Huyu rais ni muuaji.

He is a devil
 
Taratibu tutawaelewa hawa wenye mawazo mbadala....

RIP Balozi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…