TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Uzuri ni kuwa hii kitu inawapiga MATAGA pia
 
Tanzania imepoteza mwanadiplomasia makini💔
Apumzike kwa amani Balozi Augustine Mahiga
 
Hakuna kifo kimeniuma kama cha mzee toka baba wa taifa afariki mzee ni wapili kwa kifo kutoka ccm kunigusa

Nawaombea tena Warioba, Butiku na Mzee mwinyi wawe salama popote walipo.
 
ruhi,
Kama wewe ni mwana wa karibu basi pole sana kwa msiba huko. Ila nitakulaumu iwapo mzee wenu alipata dalili za ugonjwa halafu hamkumpeleka hospitali hadi anaelemewa ndipo unakuja kulalamikia serikali. Taarifa hiyo iinasema kuwa alipelekwa hospitali na kufika akiwa ameshafariki.

Ugonjwa wa korona hauuwi mara moja, bali huwa unaanza kidogo kidogo mpaka unafikia kuzimisha moyo au mapafu baada ya siku kama tatu hivi na zaidi; na dalili yake ya kwanza ni homa.Serikali haiwezi kuja nyumbani kwa kila mtu kumpima homa kujua kama ameathirika, na serikali haiwezi kuzuia ugonjwa usiingie nchini.Kazi ya serikali ni kuhakikisha kuwa aliyeathirika anapata matibabu mazuri.

Hata hivyo pokea pole zangu za dhati kwa kumpoteza ndugu wa karibu ambaye alikuwa na influence sana kwenye jamii.
 
Corona sasa Ikule na Chato itapendeza zaid,
Dodoma pekee ainogi.
 
Bunge lisitishwe
Tunawahurumia na kuwasemea ila wao kwao sawa ndio maana wamekubaliana kuendelea na vikao😃😃 wachache wanalalamika lakini hawachukui hatua yoyote zaidi kuingia vikaoni na posho wana sign
Tujililie sisi na familia zetu mkuu
 
Watu wema wanaondoka wanabaki watu waovu wasio na faida duniani hapa ndipo uweza wa Mola auchunguziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…