Mkuu yani leo hadi sasa hivi saa tatu asubuhi hamna Tanzia sijui kuna nini? Ebu tuvute subira labda hadi mida ya saa sita mchana hiviWatanzania ni wajuaji sana! Popote Uendapo, this is the reason why very few only the humble ones have succeeded! Punguzeni Ujuaji! Elimu zenyewe mshikemshike, Maneno tu! Duniani kote kipindi hiki wanakitumia kutiana Moyo! Lakini ninyi vinywa vyenu vimejaa Sumu tu!
Sijasema wazee wasiwepo ,ila miaka 75 jamani no angalao mwisho iwe basi 65 na sio 70 na kuendeleaBaraza lazima liwe na mchanganganyiko wa mawaziri wenye umri tofauti tofauti! Ukiweka vijana watupu ni sawa na gari inayotembea bila ya girisi, wazee ni girisi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana aisee 75 is not fair. Angalao mwisho iwe 65 jamani no.Tuache wazee wapumzike wafanye kazi nyepesi kwa Magu pressure ya kazi ni kubwa sana hasa kazi ya uwaziriVitu vingine hawa graduate wa IFM na UD wa sasa hawaviwezi mkuu acha wenye Weledi wao wavifanya
Marehemu hakupenda show off Kama Yule mfalMe wa bongo fleva mfuga mbwaPengine ni mgawanyo wa majukumu ama ni usia wa marehemu
Jr[emoji769]
Haha hawana uniform . Ni kitengo kinacho jitegemea.Mavazi rasmi ya TISS ni yapi?
Kama hawana mavazi rasmi basi wanaweza kumzika mtu wao hata wakiwa ndani ya jezi za Atletico Madrid.
Pengine ni mgawanyo wa majukumu ama ni usia wa marehemu
Jr[emoji769]
Public wapo ila kujitambulisha huwa haipo wanakuwa ni watu wenye majukumu mengine nje ya ukweli wa majukumu yao.Haha hawana uniform . Ni kitengo kinacho jitegemea.
Tofauti na vitengo vingine.. hawatakiwi kujulikana wakiwa public ama kuonekana.
Sent using Jamii Forums mobile app