TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Watanzania ni wajuaji sana! Popote Uendapo, this is the reason why very few only the humble ones have succeeded! Punguzeni Ujuaji! Elimu zenyewe mshikemshike, Maneno tu! Duniani kote kipindi hiki wanakitumia kutiana Moyo! Lakini ninyi vinywa vyenu vimejaa Sumu tu!
Mkuu yani leo hadi sasa hivi saa tatu asubuhi hamna Tanzia sijui kuna nini? Ebu tuvute subira labda hadi mida ya saa sita mchana hivi
 
Baraza lazima liwe na mchanganganyiko wa mawaziri wenye umri tofauti tofauti! Ukiweka vijana watupu ni sawa na gari inayotembea bila ya girisi, wazee ni girisi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema wazee wasiwepo ,ila miaka 75 jamani no angalao mwisho iwe basi 65 na sio 70 na kuendelea
 
Vitu vingine hawa graduate wa IFM na UD wa sasa hawaviwezi mkuu acha wenye Weledi wao wavifanya
Hapana aisee 75 is not fair. Angalao mwisho iwe 65 jamani no.Tuache wazee wapumzike wafanye kazi nyepesi kwa Magu pressure ya kazi ni kubwa sana hasa kazi ya uwaziri
 
kwanza naanza kutoa pole kwa Taifa la Tanzania, kwa kupotelewa na mwanadiplomasia nguri, Kachero mbobezi,Mwalimu, waziri wa katiba na sheria, yani nina sifa nyingi za kuandika katika zoteeeee kupita zote alikuwa mgombea Urais kupitia Ccm mwaka 2015.

Sifa zote nilizozitaja, moja mubwa ni miongoni mwa makachero wazuri ni mjeshi huyu inakuaje mwili wake leo unabebwa na Jeshi La akiba?

ili limekaaje? mkuu wa TIS kubebwa na mgambo kwenda kuzikwa? jana tumeshuhudia Brigedia Jenerali Agustino Ramadhani akibebwa na Wanajeshi wenzake nina hakika ndie walio mzika.

Naomba kujua kwa nini Mkuu wa TIS abebwe na Mgambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahiga sio generali mpaka azikwe kijeshi na hajawai kuwa mkuu wa TISS kisheria ndio maana hata rais alivoita wakuu waulinzi na usalama wastafu mahiga hakuwa miongoni mwa wakuu wa idara ya usalama waliohudhuria au wanaotajwa.

Usalama wa taifa ulianza rasmi 1996 chini ya Tanzania intelligence security Act 1996. Zamani usalama wa taifa haukuwepo kisheria japo idara iliofanya kazi kama usalama wa taifa ilikuwepo but haikutambulika kisheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sifi leo, Kwanza ni former director. Ukishatoka kwenye kile cheo unarudi kwenye majukumu yako ya kawaida.

Pili baada ya majukum ya serikal unakuwa mwananchi wa kawaida. Na unatakiwa ujue taratib za mazishi zina vary.

Usalama hawatakiwi kuonekana public ama kujulikqna. Ndio maana huwaoni hapo. Mgambo ji jeshi la akiba tu ambalo linatumika kokote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
emmanuel mruma,
Kumbe ndo maana ipo hovyo hovyo tu..ilianzishwa na mafisadi then ikawa na baba kanituma. Inaitajika ivunjwe na kutupwa mbali sana; hao waliodumu enzi za Maiga wangekua wanaendelea na huo mfumo usiotambulika ki sheria vitu kama ndege kukamatwa au twiga kupanda ndege isingetokea.

Nasema tena TISS ivunjwe imejaa baba kanituma na watiifu kwa chama siyo wazalendo kwa nchi, Wasaka pesa na sifa.
 
Back
Top Bottom