TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
Kwani naye si anachapa kazi.

Hayo mabarua yaliyoandikwa Leo asubuhisubuhi wakati wee bado umelala yamesharushwa mitandaoni.

Kwani Kuna tofauti gani yangeandikwa Magogoni ama Chamwino?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni familia. Ni vizuri kitu kimetua mjengoni, ngoja kiwashikike adabu, nitafurahi next likiwa-gogo
 
Aisee hali ni tete tunakwisha japo wanasema hivi vifo sio vya corona ila kwa nini iwe wakati huu wa corona ndo vifo vinazidi?!
Corona ndo ccm so haitakiwi kuhusishwa na vifo hivi isije ikasababisha malaika kukosa ushindi wa kishindo hapo october
 
Uzur wa corona haichagui. Japo sisi makapuku hamtangazi idadi yetu tunaokufa lakini corona kasema nyie ni nani mpaka msitangaze? Ngoja sasa nianzie kwenu[emoji41]
Unforgetable

[emoji2021]Manners Maketh Man[emoji2021]
 
Agustino wote mkae mkao wa kula week hii ni yenu. Alianza jaji mstaafu sahivi mzee Mahiga...next hatujui ni nani
Kwa sasa ndio unaweza kukubaliana na jiwe kuhusu kuomba Mungu tu, maana tumeshindwa kuchukua hatua stahiki na kuzuia usambaaji, ni Mungu tu ndie atakae tusaidia sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…