TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui unasave, mara natafuta mitaji mi nimepiga chini siku hizi...
Nakula tu bata[emoji16][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui unasave, mara natafuta mitaji mi nimepiga chini siku hizi...
Nakula tu bata[emoji16][emoji1787]
Taarifa zisizo na shaka ndio zinakua na wekunduHapa JF kuna kaubaguzi fulani naanza kukaona kwa mbali, wengine wanawekewa View attachment 1822081na wengine wanatangazwa kikavukavu kulikoni?
Hapa JF kuna kaubaguzi fulani naanza kukaona kwa mbali, wengine wanawekewa View attachment 1822081na wengine wanatangazwa kikavukavu kulikoni?
Pumzika kwa amani Doctor....
Yes imedhulumu maisha ya Daktari bingwa... Apumzike kwa amani.Wave 3 ?
Usiogope mkuu tumeAmbiwa huko hakuna njaa Wala kiu Wala maumivu...Nikifikiria kuna kufa naona bora nitafute hela ya kula tu na pango kinachobakia nile burudani tu! Unaparangana kisha unadanja
Covid19...RIP Dr.Chanzo cha kifo chake ni nini?
Mwenyezi Mungu awafariji wazazi na ndugu zake.
Sitaki kufa ila sina jinsi, hasa hasa huku ukubwani starehe ya kula Mbususu ndio imenifanya nione Mungu alitupa miaka michache mnooo alfu ukizingatia Mbinguni wanasema hakuna Mbususu … ! So sad [emoji24]
DuhMwendazake alihudumu akiwa Daktari Bingwa wa Mishipa ya Fahamu & Ubongo (Neurologist) Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando
View attachment 1821993
Mkuu yani kuna muda huwa nawaza sana kuhusu kifo naona kama watu tunafika mbali juu ya maisha!Nikifikiria kuna kufa naona bora nitafute hela ya kula tu na pango kinachobakia nile burudani tu! Unaparangana kisha unadanja
🙏✍️Taarifa zisizo na shaka ndio zinakua na wekundu
Zamani wakati wa utoto nilijua daktari haumwi wala hafi, mwanadamu hata uwe na cheo au mali za kiwango gani , duniani ni sehemu ya kupita tu , roho Ndio itaishi milele aidha Kwenye Mateso ya milele au uzima wa milele ufalme wa Mungu mbinguniUnaseka na mavitabu usku kucha, kujituma, end of the day unakufa[emoji24][emoji24][emoji24] kifo kuwa na huruma Basi hii dunia hamna ambae atajua kuifaidi coz UNAWEZA ukatafuta alafu ukapata ukafa na kufa
Unanikumbushia kuna askari alitoka vitani akafika nyumbani salama kabisaa. Kesho yake wanafanya maandalizi ya kutoa shukrani na sherehe hakufika asubuhi kaondoka usingiziniUnaseka na mavitabu usku kucha, kujituma, end of the day unakufa[emoji24][emoji24][emoji24] kifo kuwa na huruma Basi hii dunia hamna ambae atajua kuifaidi coz UNAWEZA ukatafuta alafu ukapata ukafa na kufa
Dah inauma sana yani aiseeMkuu yani kuna muda huwa nawaza sana kuhusu kifo naona kama watu tunafika mbali juu ya maisha!
Ukicheki watu wanavyo hangaika unaweza kufikiri ataishi miaka 300
Kama wewe ni muslim basi oa wanawake wanne wa type tofauti unazotaka ,kisha fanya ibada tenda wema ukifika huk0 utapata mbususu bikra 70 na utapewa nguvu ya kupiga mizigo 70 kwa siku.
Heri wafu wafao katika Bwana....R.I.P..Umauti nikiufkiria sana nakonda kabisa..
Hili changa la macho[emoji16][emoji16][emoji56][emoji79]Kama wewe ni muslim basi oa wanawake wanne wa type tofauti unazotaka ,kisha fanya ibada tenda wema ukifika huk0 utapata mbususu bikra 70 na utapewa nguvu ya kupiga mizigo 70 kwa siku.
Kunywa bia sasa mpaka koo liteme nyongoo[emoji1787][emoji1787]Dah inauma sana yani aisee