TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

George Tyson: ntamkumbuka kama watu Wa mwanzo kabisa kuifufua tasnia ya filamu Tanzania, Movie yake alioidirect "Girlfriend " ndo ilikuwa ufunguzi wa new era of bongo films.

kazi nzuri nyingine ni pamoja na Sabrina ambayo ilikuwa nzuri pia kwa wakati wake.

sema alikuwa amepoa sana, hakuendelea kutoa movie tena, sijui kwa nini?
 
Huo ni mtihani wanaofanya movie mungu anawakumbusha murejee kwake achaneni na hii issue.
 
UPDATES:
mboni wa the mboni show nae alikuwepo kwenye ajali so amevunjika mguu
 
R.I.P George.....jamani bongo movie dah!

pole monalisa
 
George!!! Pumzika kwa Amani Kaka..!!
 
dah...Mungu amuweke mahala anapostahili
R.I.P George tyson
poleni sana bongo movies
 

Pigo kwa Kidoti na muuza matikiti maji mwamcotton.
 
UPDATES:
mboni wa the mboni show nae alikuwepo kwenye ajali so amevunjika mguu

Mbona kuna sredi nyingine inasema mboni yupo salama alikuwa kwenye vx gari nyingine? Mods ingilieni kati tupate habari za uhakika JF ndio chanzo cha habari za uhakika.
 
kila binadamu atakufaa... r.I.p bro
 
R.I.P. Msanii.
Mwenye picha yake tafadhali.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…