pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,229
George Tyson: ntamkumbuka kama watu Wa mwanzo kabisa kuifufua tasnia ya filamu Tanzania, Movie yake alioidirect "Girlfriend " ndo ilikuwa ufunguzi wa new era of bongo films.
kazi nzuri nyingine ni pamoja na Sabrina ambayo ilikuwa nzuri pia kwa wakati wake.
sema alikuwa amepoa sana, hakuendelea kutoa movie tena, sijui kwa nini?
kazi nzuri nyingine ni pamoja na Sabrina ambayo ilikuwa nzuri pia kwa wakati wake.
sema alikuwa amepoa sana, hakuendelea kutoa movie tena, sijui kwa nini?