TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Naomba kuuliza hivi jackline atathubutu kufika msibani kweli? aliyekufa ni kama mama yake na aliyemuoa ni sawa na babake daaaaah yaani aibu tupu
kwako ndio aibu, ukome shwain wewe!!!
 
Daaaah! Miezi sita baada ya mama kufariki, mzee nae anafariki.
Pumzikeni kwa Amani!!
 
K_lyn Ndo kala bingo mtusi yule,watoto aliozaa siyo bure lazima apate chake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya majina nta---????

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…