TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Mama wa kichaga ametangulia...alifight sana Ku keep ile family together lakini wapi...
hivi EA Tv si ilikuwa chini ya mama baada ya mtiwe kufariki?
 
Usikute Jackie mwenyewe anaomba kisirisiri mzee anyooshe ndio uone Mungu wa ajab anampa "many" maisha 2080.

R.I.P mama yetu
Hapo ndo utawaelewa vizuri hawa viumbe kama wanaupendo wa ukweli au maigizo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…