Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,939
Hii ndiyo ilipashwa kuwa HabariPia Ajali ya Noah na haice yaua zaidi ya 7 Ikungi, Singida. Maharusi na wengine.
RIP wote
Apumzike kwa Aman R.I.p GamaMbunge wa Songea Mjini ndugu Gama Leonidas amefariki usiku wa kuamkia Leo. Rip Mheshimiwa Gama.
View attachment 636894
wapi skyAliwahi kuwa DC wangu.
Umesoma pale pa NB:Paskal-kwa mtu kama wewe ni vyema ukajaribu kukwepa "value judgement" za aina hii. Vifo vya gafla hutokeo kwa watu wote wanene, wembamba, na wa wastani. Taarifa ya daktari ndiyo inaweza kudhibitisha pasipo shaka sababu ya kifo cha mtu
Paskal-kwa mtu kama wewe ni vyema ukajaribu kukwepa "value judgement" za aina hii. Vifo vya gafla hutokeo kwa watu wote wanene, wembamba, na wa wastani. Taarifa ya daktari ndiyo inaweza kudhibitisha pasipo shaka sababu ya kifo cha mtu