Khaaaa.. We jamaa kwan upo wp saiz,.. Na kwenu ni wp??.. Mimi natokea hapa halalli,.. Njia panda kwenda ilembula.. Am here right now..Haaahaahaaa
Kwani kuna Ilembula kwenye Bible?
Mi naongelea Korinto ya kwenye Bible mkuu.
Teh teh
Nimekumisi nyumbani kwetu, hasa kuvuka ule mto Halali kwa mguu. Magari huwa sipandi nikiwa kwetu.
Niko Dar ila kwetu ni Korinto. Ukifika Ilembula Hospital unavuka mto halali, ama kupitia darajani hadi unakwenda Luduga, unakata kushoto ukifika Ngalanga....Haahaaa.Khaaaa.. We jamaa kwan upo wp saiz,.. Na kwenu ni wp??.. Mimi natokea hapa halalli,.. Njia panda kwenda ilembula.. Am here right now..
On behalf myself and the people of Igwachanya R.I.P
On behalf of myself and the people of Korinto,
May God put his soul in a perfect place!
Haya veyaa.. Na Mimi last year tu nlikuwa uko uko dar,.. Nmeamua kurud hom..Niko Dar ila kwetu ni Korinto. Ukifika Ilembula Hospital unavuka mto halali, ama kupitia darajani hadi unakwenda Luduga, unakata kushoto ukifika Ngalanga....Haahaaa.
Sijarudi home almost 3 solid good years.
I miss home a lot.
Kwa nini mkuu?Haya veyaa.. Na Mimi last year tu nlikuwa uko uko dar,.. Nmeamua kurud hom..
HaaaaahaaaaAnd the people of Palangawanu. RIP
Nlikuwa npo uko kimasomo.. Am over with universityKwa nini mkuu?
Nitahamia Kibaha soon. Sipendi kuishi Dar, kuna adha nyingi mno.
Hongera mkuu. Karibu uraianiNlikuwa npo uko kimasomo.. Am over with university
Ingawa kifo au ajali anapanga muumba lakini upo umuhimu wa kuhakikisha hao watoa huduma wanakuwa na utaalamu wa kutosha pamoja na vifaa stahiki. Hivi unafahamu marehemu alipelekwa hospitali na gari la zima moto?