battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
Mkuu ,Umenikosh mno,Tuna ugonjwa wa Corona unasumbua dunia,kila mtu anaomba abaki hai,je unataka ubaki hai ili uendelee kuiba,kufanya uzinzi,kusema uongo na mengine ambayo ni chukizo kwa Mola?Fikiria Mungu akikuuliza leo kwa nini unataka uwe hai,je una sababu za msingi za kumshawishi akuache uishi?
Wengi wetu tuna fuata bendea tuu.
Watu humu ndani ya Jf wameshikilia amekufa kifo gani ama corona ama homa ya mapafu,
Ukisha jua ndio iwe nini?
Umbeya tuuu na kudadisi ujinga.
Wewe shukuru Mungu ungali hai,bado uanyo nafasi ya kupiga goti na Kuomba Toba .
Hebu inama hapo ulipo ujichunguze ,Umetanguliza nini kwa Mungu kama Utakufa leo usiku?