Mkuu ,Umenikosh mno,Tuna ugonjwa wa Corona unasumbua dunia,kila mtu anaomba abaki hai,je unataka ubaki hai ili uendelee kuiba,kufanya uzinzi,kusema uongo na mengine ambayo ni chukizo kwa Mola?Fikiria Mungu akikuuliza leo kwa nini unataka uwe hai,je una sababu za msingi za kumshawishi akuache uishi?
Mrejee Mungu kwa nguvu zako zoto na moyo wako wote na akili zako zote,Basi sie watenda maovu tumrejee Mungu 🙌
Mere prose without any accompanying evidence!Kiukweli kama hii Corona ipo basi Mungu atupe watanzania wepesi wa kuelewa maelekezo tunayopewa na wataalamu wa afya.
Misongamano imekatazwa lakini hapa nashuhudia lundo la watu wakiwa wamejazana kanisani kumuaga marehemu mchungaji Mitimingi
Tatizo siyo kuaga mpendwa wao bali namna ambavyo hawachukui tahadhari katika mkusanyiko mkubwa kama huo.
Rip mchungaji Peter Mitimingi!
Wasije kumlaumu mtu , huyu mitimingi kabla hajafa alifanya mkusanyiko pia .Kiukweli kama hii Corona ipo basi Mungu atupe watanzania wepesi wa kuelewa maelekezo tunayopewa na wataalamu wa afya.
Misongamano imekatazwa lakini hapa nashuhudia lundo la watu wakiwa wamejazana kanisani kumuaga marehemu mchungaji Mitimingi
Tatizo siyo kuaga mpendwa wao bali namna ambavyo hawachukui tahadhari katika mkusanyiko mkubwa kama huo.
Rip mchungaji Peter Mitimingi!
😳 kumbe walishikana mikono
Korona inathibitisha ni mataifa gani majinga, mpaka sasa ni Brazil na Tanzania. Brazil wana dharau Korona toka ilipoanza lakini sasa maelfu wamekufa na korona, na bado rais wao anafanya ujinga.Kiukweli kama hii Corona ipo basi Mungu atupe watanzania wepesi wa kuelewa maelekezo tunayopewa na wataalamu wa afya.
Misongamano imekatazwa lakini hapa nashuhudia lundo la watu wakiwa wamejazana kanisani kumuaga marehemu mchungaji Mitimingi
Tatizo siyo kuaga mpendwa wao bali namna ambavyo hawachukui tahadhari katika mkusanyiko mkubwa kama huo.
Rip mchungaji Peter Mitimingi!
Waķati unashughudia wewe ulikuwa wapi kama sio moja waoKiukweli kama hii Corona ipo basi Mungu atupe watanzania wepesi wa kuelewa maelekezo tunayopewa na wataalamu wa afya.
Misongamano imekatazwa lakini hapa nashuhudia lundo la watu wakiwa wamejazana kanisani kumuaga marehemu mchungaji Mitimingi
Tatizo siyo kuaga mpendwa wao bali namna ambavyo hawachukui tahadhari katika mkusanyiko mkubwa kama huo.
Rip mchungaji Peter Mitimingi!
Tukio liko mubashara tv mbalimbali!Waķati unashughudia wewe ulikuwa wapi kama sio moja wao