TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

Kuna mijitu ukiikemea hadharani kwenye umati linakausha, mkikutana wawili linakwambia...si ulijifanya mjanja mbele za watu?
Linakukwida kwelikweli.
Magu aliko usiku hazimi taa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Inategemea hofu yakukutia katika hali gani kulingana na afya yako.

Ukiwa na shinikizo la damu au kiharusi au pumu na megonjwa mengine ambayo yanaitwa kwa kiingereza underlying conditions, basi unakuwa kwenye hatari ya kuingiwa hofu.

Sasa fikiria una HBP halafu unajisikia vibaya kisha waambiwa ukapimwe na COVID -19 kabisa.

Kabla hujapimwa kama una COVID-19, HBP nayo imepanda iko juu utapona kweli?

Ikiwa wazungu huko Ulaya na Marekani wanaogppa kwenda mahospitalini hata kuangaliwa tu afya zao sembuse sisi watanzania na hali ya hospitali zetu wazifahamu.

Kuna yule aliesema pale Mloganzila wachunguzwe hakukosea maana ndo walikuja mbio kujibu tuhuma.

RIP mchungaji Peter Mitimingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…