TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

Hapana,huyu ni moja kati watu waliojua kufundisha habari za mahusiano na saikolojia vilivyo, hajawahi base upande mmoja,ana mafundisho mazuri sana,japo sijawahi kwenda kanisani kwake ila kupitia ktk YouTube channel yake nilimfuatilia Sana.
Alikuwa mfundaji, si mchungaji

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mchango wako wa kuitengeneza jamii Bora ya kitanzania tutaukumbuka daima.Pumzika kwa amani Mchungaji Mitimingi😂
 
R. I. P mchungaji
"chozi la mwanamke likitoka sababu ya maumivu au kunung'unika huleta laana"
Sasa wewe jifanye kitunguu maji kuwaliza wadada.
Hapa jf hua tunafunguka tu wee weka mambo hadharani hata Kama ni romours sisi tutachambua wenyewe
 
Back
Top Bottom